totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,398
Bilion 20 akaziingiza Makolo FC [emoji23][emoji23][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] snitch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilion 20 akaziingiza Makolo FC [emoji23][emoji23][emoji91]
So Inawezekana kitakuwa ni kiwanda cha kuzalisha uongo sasa na sio vitenge tena!!Kwahiyo umekubaliana na mleta mada kuwa kuna kiwanda kilikuwa na wafanyakazi laki moja? Majimbo kibao Tanzania Watu wamepata ubunge KWA kupata kura chino ya laki moja.
Yaani umekubaliana na data za mleta mada kabisa. Kama kiwanda cha mkoa wa Mara kina wafanyakazi 100,000 je cha Dar es salaam kitakuwa na wafanyakazi wangapi?
Tufanye ni kweli. Tufanye kila mfanyakazi KWA wastani analipwa 100,000/= KWA mwezi.
100,000x100,000=10,000,000,000
Ambayo ni bilioni 10 kila mwezi kama mshahara ambayo ni bilioni 120 KWA mwaka kama mshahara.
Kiwanda kiwe Mara kilipe bilioni 120 kama mshahara kwa mwaka.
Ikiwa nchi ina viwanda 400 vyenye ukubwa kama cha Musoma jumla ya wafanyakazi itakuwa
100,000x400=40,000,000=40m
Watu 40m wawe viwandani Tanzania. Inakuja kweli?
Unapokosea data moja inafanya Watu wawe na shaka na data zingine
So unamanisha hizo bilioni 250 alizokopa si Kwa kutumia dhamana ya mutex pekee kachanganya na dhamana ya viwanda vyake vingine? Hebu ongeza sauti ili mleta Uzi naye asikie vizuri!!Mo ana viwanda vingi! Bank inaruhusu kukopa na kuweka dhamana zaidi ya moja kutokana na ukubwa wa Mkopo. MUTEX inaweza kuombewa mkopo ata wa Bilion 600 ikawa part ya dhamana kwa Bank
Dhamana si sababu pekee ya mtu kupata mkopo, acheni upotoshajiSo unamanisha hizo bilioni 250 alizokopa si Kwa kutumia dhamana ya mutex pekee kachanganya na dhamana ya viwanda vyake vingine? Hebu ongeza sauti ili mleta Uzi naye asikie vizuri!!
Samahani halikuwa jibu lako lileMngekuwa makini hivi kwenye uchumi na kuzuia ufisadi tungekuwa mbali sana.
Mo anatafutwa uchawi bure tu, ni nani aliyempa Mo viwanda vyetu?Ndugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills,
Lengo la mkopo kupanua kiwanda hicho cha Musoma Textile lakini Fedha zile Mo walienda kujengea kiwanda Cha Mo energy Vingunguti,
Wanamara wote, Kwa Pamoja tuamke kulipigania hili Kwa sababu Wabunge wa Mkoa wa Mara wamekaa kimya,Mkuu wa mkoa amekaa kimya, Uongozi wa mkoa umekaa kimya miaka inaenda Kiwanda Cha Musoma hakijengwi Wala kuendelezwa,
NINAOMBA YAFUATAYO:
1: Nimtake Mo na Kampuni yake warudishe hicho Kiwanda mikononi mwa serikali Ili wawekezaji wengine wapewe kuendeleza,
2: MO ashitakiwe kama mhujunu uchumi Kwa sababu amefanya Financia loan diversion kisheria ni mhujumu uchumi
3: Nimtake Mo atekeleze lengo la mkopo ule au atulipe Watanzania Kwa kuchukua asset ya Watanzania na kuifanyia biashara kinyume na taratibu za serikali,
4: Ashitakiwe Kwa kuwakosesha wanaMara Ajira za moja Kwa moja zisizopungua 100,000 Kwa maana wakulima wangeuza pamba, serikali ingekusanya Kodi, Technolojia ingekuwa,na Mapato yangeongezeka Kwa asilimia 120 ndani ya mkoa wa Mara
4: Mkoa wa Mara tunalia Vyanzo vya Mapato kumbe Vyanzo Hivi vinahujumiwa na watu wachache.
5: Wananchi wote tuungane kuwapinga watu kama hawa Tanzania
6:. Mo aombe radhi na kutekeleza pendekezo namba 3 nililotaja hapo juu.
7: Serikali ya mkoa itoe tamko juu ya hili na kuwaomba wananchi Radhi Kwa kutokuwa makini na kutofuatilia uwekezaji wa namna hii
8: Mkopo huu umeingizwa kwenye Deni la Taifa kupitia Mikopo inayochukuliwa na sekta binafsi,Tanzania
B: Kama hayatafanyika hayo
1: Natoa siku 60 kuifikisha Kampuni hii Mahakamani ukiwa ni pamoja na kuwataarifu Benki ya Maendeleo juu ya default ya mkopo ya namna hii regardless unarejesha.
2: Serikali ianzishe uchunguzi wa hili suala kama haitafanya wananchi tutaishitaki serikali na Kampuni husika.
Ç: Naomba kuwasilisha hoja kujadiliwa Kwa upana na kupata maoni juu ya hili Kwa pamoja tupate maoni.
Wenu Mzalendo Mara
B.Marela
Lini hiyo ilitokea?Ndugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills,
Lengo la mkopo kupanua kiwanda hicho cha Musoma Textile lakini Fedha zile Mo walienda kujengea kiwanda Cha Mo energy Vingunguti,
Wanamara wote, Kwa Pamoja tuamke kulipigania hili Kwa sababu Wabunge wa Mkoa wa Mara wamekaa kimya,Mkuu wa mkoa amekaa kimya, Uongozi wa mkoa umekaa kimya miaka inaenda Kiwanda Cha Musoma hakijengwi Wala kuendelezwa,
NINAOMBA YAFUATAYO:
1: Nimtake Mo na Kampuni yake warudishe hicho Kiwanda mikononi mwa serikali Ili wawekezaji wengine wapewe kuendeleza,
2: MO ashitakiwe kama mhujunu uchumi Kwa sababu amefanya Financia loan diversion kisheria ni mhujumu uchumi
3: Nimtake Mo atekeleze lengo la mkopo ule au atulipe Watanzania Kwa kuchukua asset ya Watanzania na kuifanyia biashara kinyume na taratibu za serikali,
4: Ashitakiwe Kwa kuwakosesha wanaMara Ajira za moja Kwa moja zisizopungua 100,000 Kwa maana wakulima wangeuza pamba, serikali ingekusanya Kodi, Technolojia ingekuwa,na Mapato yangeongezeka Kwa asilimia 120 ndani ya mkoa wa Mara
4: Mkoa wa Mara tunalia Vyanzo vya Mapato kumbe Vyanzo Hivi vinahujumiwa na watu wachache.
5: Wananchi wote tuungane kuwapinga watu kama hawa Tanzania
6:. Mo aombe radhi na kutekeleza pendekezo namba 3 nililotaja hapo juu.
7: Serikali ya mkoa itoe tamko juu ya hili na kuwaomba wananchi Radhi Kwa kutokuwa makini na kutofuatilia uwekezaji wa namna hii
8: Mkopo huu umeingizwa kwenye Deni la Taifa kupitia Mikopo inayochukuliwa na sekta binafsi,Tanzania
B: Kama hayatafanyika hayo
1: Natoa siku 60 kuifikisha Kampuni hii Mahakamani ukiwa ni pamoja na kuwataarifu Benki ya Maendeleo juu ya default ya mkopo ya namna hii regardless unarejesha.
2: Serikali ianzishe uchunguzi wa hili suala kama haitafanya wananchi tutaishitaki serikali na Kampuni husika.
Ç: Naomba kuwasilisha hoja kujadiliwa Kwa upana na kupata maoni juu ya hili Kwa pamoja tupate maoni.
Wenu Mzalendo Mara
B.Marela
Kwani nani anampa lessni ya biashara? We acha maswali yasiyo na hoja....Kuna rights na responsibilities ndiyo sababu ukijaribu kujiua tukikudaka tunakuhukumu, kwani uhai unakuwa wa nani? Nenda kajifunze kwanza uraiaHizo businesses A na B ni mali ya nani??
Hapo watani wetu Simba wanaingiajeSimba SC aka Makorokoro FC 😂😂🔥
Mpaka zile machine kule ndani tulisha toa acha kuhangaika na wewe jitafutie pa kuegekaNdugu zangu wana Mara katika Utafiti wangu nimegundua kuwa Mo aka Metl group walikopa Billion 250 kutoka benki ya Maendeleo ya Africa Kwa kutumia Kiwanda Cha Musoma textile Mills,
Lengo la mkopo kupanua kiwanda hicho cha Musoma Textile lakini Fedha zile Mo walienda kujengea kiwanda Cha Mo energy Vingunguti,
Wanamara wote, Kwa Pamoja tuamke kulipigania hili Kwa sababu Wabunge wa Mkoa wa Mara wamekaa kimya,Mkuu wa mkoa amekaa kimya, Uongozi wa mkoa umekaa kimya miaka inaenda Kiwanda Cha Musoma hakijengwi Wala kuendelezwa,
NINAOMBA YAFUATAYO:
1: Nimtake Mo na Kampuni yake warudishe hicho Kiwanda mikononi mwa serikali Ili wawekezaji wengine wapewe kuendeleza,
2: MO ashitakiwe kama mhujunu uchumi Kwa sababu amefanya Financia loan diversion kisheria ni mhujumu uchumi
3: Nimtake Mo atekeleze lengo la mkopo ule au atulipe Watanzania Kwa kuchukua asset ya Watanzania na kuifanyia biashara kinyume na taratibu za serikali,
4: Ashitakiwe Kwa kuwakosesha wanaMara Ajira za moja Kwa moja zisizopungua 100,000 Kwa maana wakulima wangeuza pamba, serikali ingekusanya Kodi, Technolojia ingekuwa,na Mapato yangeongezeka Kwa asilimia 120 ndani ya mkoa wa Mara
4: Mkoa wa Mara tunalia Vyanzo vya Mapato kumbe Vyanzo Hivi vinahujumiwa na watu wachache.
5: Wananchi wote tuungane kuwapinga watu kama hawa Tanzania
6:. Mo aombe radhi na kutekeleza pendekezo namba 3 nililotaja hapo juu.
7: Serikali ya mkoa itoe tamko juu ya hili na kuwaomba wananchi Radhi Kwa kutokuwa makini na kutofuatilia uwekezaji wa namna hii
8: Mkopo huu umeingizwa kwenye Deni la Taifa kupitia Mikopo inayochukuliwa na sekta binafsi,Tanzania
B: Kama hayatafanyika hayo
1: Natoa siku 60 kuifikisha Kampuni hii Mahakamani ukiwa ni pamoja na kuwataarifu Benki ya Maendeleo juu ya default ya mkopo ya namna hii regardless unarejesha.
2: Serikali ianzishe uchunguzi wa hili suala kama haitafanya wananchi tutaishitaki serikali na Kampuni husika.
Ç: Naomba kuwasilisha hoja kujadiliwa Kwa upana na kupata maoni juu ya hili Kwa pamoja tupate maoni.
Wenu Mzalendo Mara
B.Marela
Wahindi wanapenda serikali dhaifu kama hii ya CCM.Huyo jamaa siku zote ni mjanja mjanja sana.
Kama alinunua bila masharti ya kukiendeleza hana kosa lolote kisheria kati yake na muuzaji(serikali).Mkuu, kama alikinunua si ni mali yake na anaweza kufanya anavyotaka?? Mfano, mimi nimenunua nyumba Mbagala ilhalia tayari nina nyumba Mbezi Beach. Sasa nikiamua kuchukua mkopo Bank kwa kuweka rehani nyumba ya Mbagala ili nipanue ile ya Mbezi, kosa langu lipo wapi?
CC: peno hasegawa
Kwan wewe hutaki DPW achukue bandari? Miaka 62 toka uhuru bandari imefanya nn cha maana??Hivi ni kwanini hawa wenzetu ni janjajanja sana? Na siku wamepamba moto kumtetea DPW
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔Ndio unajua leo..
Unamzungumzia MO aliechukua mkopo wa $800M , ( kwa mujibu wa Maguful)
Alivotekwa mlipiga kelele.. ila MO hayupo mwenyewe..
Kuna yule wa Morogoro anaetoa mabas kupeleka mwil kwenye mazishi
Kuna mfadhili wa wananchi, na nchi akahama.
Wahindi karibu wote wametoboa kwa namna hiyo..
Na hii ni kwa msaada mkubwa wa waswahili wenzenu.. kupenda vihela vidogo vidogo...
Nyie mnashauriwa mkalime kebeji.
Fikra za kimasikiniMo janja janja nyingi, 100% ya matajiri bongo mali zao ni za kifisadi na wanashirikiana na watu watanzania tuliwaamin kama wasimamizi wa ........tuache ujinga sisi tutakufa kama watumwa wa .....tusimame tupiganie kizazi kijacho kisiishi maisha tulioishi, Makufuli words "hii nchi ni tajiri"