Kwa mara ya kwanza Tanzania tunayaona anayoyafanya Bashe kwenye kilimo yakileta tija.Hizi ndio swagwa za kuwadanganya wajinga? Pitia pitia machapisho kule Misiri uonr nini maana ya Mapinduzi ya Kilimo, Bashe na Mama wanacheza na akili za wajinga
Wajioendekezaji kama nyie lazima muunge mkono hoja, kule Kwenu Usukumani kuna umasikini wa kutisha sana, Zao la pamba lisha kufa na hakuna anaye jali, uko mjiji kulamba wakubwa miguuu badala ya kuwapigania ndugu zako ambao wanatafunwa na umasikini wa kutisha,Naunga mkono hoja.
P
Kwa mara ya kwanza Tanzania tunayaona anayoyafanya Bashe kwenye kilimo yakileta tija.Hizi ndio swagwa za kuwadanganya wajinga? Pitia pitia machapisho kule Misiri uonr nini maana ya Mapinduzi ya Kilimo, Bashe na Mama wanacheza na akili za wajinga
Tija ipi? Nenda in ground uone, nyie mko mjiji kuna kitu mnajua? Tembelea vyuo vya kilimo uone vilivyo chakaaa na kubakia kama kambi za majeshi ya Kijerumani, huwezi zungumzia mapinduzi ya kilimo kwa swagwa rahisi kama hizo,Kwa mara ya kwanza Tanzania tunayaona anayoyafanya Bashe kwenye kilimo yakileta tija.
Misri walitowa ardhi kuwapa wakulima bure?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza, jionee:Tija ipi? Nenda in ground uone, nyie mko mjiji kuna kitu mnajua? Tembelea vyuo vya kilimo uone vilivyo chakaaa na kubakia kama kambi za majeshi ya Kijerumani, huwezi zungumzia mapinduzi ya kilimo kwa swagwa rahisi kama hizo,
Bashe anacheza na akili za wajinga, Kule kanda ya Ziwa kuna Umasikini wa kutisha kwa sababu pamba ilisha kufa kifo cha mende.
Bashe namkubali kwa ujanja ujanja wa kundanganya Mama, hakuna kitu hapo on ground kilomo cha Tanzania bado sana
Shule za kilimo zilishafutwa na kujaza form five na six sasa hapo kilimo kinasongaje mbele kama hatuwekezi kwenye elimu ya kilimo na ufugaji kwa Watoto wetu.Yaani wanawekeza kwenye vitu vya kipuuzi kuwadanganya wajinga, mfano ile ya kugunga GPS kwenye pikipiki za Maofisa Ugani inasaidia nini?
Ukitembelea zile Taasisi za Kilima kama TARI unawaonea huruma, hawana bajeti ya maana sana wanategemea wafadhili, ukitembelea zilizo kuwa shule za michepuo ya kilimo zisha jifia, nenda kwenye vyama vya Ushurika ni sanaaa tupu.
Wakulima tuliopo kwenye kilimo tumenyamaza tu maana yaliyopo hayatufurahishi, ila nyie wadananda mnajifanya yamkulima mnayajuwa.Mkulima wa Tanzania sasa hivi ana kituo cha kisasa cha huduma kwa mtej (,Customer care).
Bashe kwa mara ya kwanza Tanzania, anaifanya Wizara ya kilimo kuwa ni watoa huduma wa kisasa kwa wakulima. Jionee:
Mengine tutaendelea kuwaletea.
Hongera Bashe, Hongera Rais Samia.
Kama umeshindwa kutumia fursa zilizopo, mpaka serikali imeamuwa kununua mazao kuokowa wakulima, kama yote hayo unayifanyiwa na bado unapata hasara, hiyo siyo kazi yako, achana nayo.Wakulima tuliopo kwenye kilimo tumenyamaza tu maana yaliyopo hayatufurahishi, ila nyie wadananda mnajifanya yamkulima mnayajuwa.
Mtu hujawahi hata kulima, hujuwi chochote kuhusu kulima ila na wew unazungumzia kilimo. Customer care itanisaidia nin kama nalima mazao ya biashara na bei inakuwa iko chini, sanaa sanaa tu kila mwaka.
Nakwambiaje hii ni janja janja tu, utaona baada ya uatamizi kuisha kama hii issue itaendelea.Wachana na kilimo kwanza, mavi ya kale hayanuki.
Sasa hivi mwendo ni BBT.
Hawa wapuuzi sijui wanatuonaje kuendeleza hii sekta ya kilimo sio kukusanya vikundi vya watu kama hivi.Yaani wanawekeza kwenye vitu vya kipuuzi kuwadanganya wajinga, mfano ile ya kugunga GPS kwenye pikipiki za Maofisa Ugani inasaidia nini?
Ukitembelea zile Taasisi za Kilima kama TARI unawaonea huruma, hawana bajeti ya maana sana wanategemea wafadhili, ukitembelea zilizo kuwa shule za michepuo ya kilimo zisha jifia, nenda kwenye vyama vya Ushurika ni sanaaa tupu.
Nitajie mazao matatu seriakali inayonunua, usishadadie vitu usivyovijuwa ndugu. Hebu niambie Pamba, Alizeti, Kahawa, dengu mwaka jana zilikuwa bei gani kulinganisha na mwaka jana.Kama umeshindwa kutumia fursa zilizopo, mpaka serikali imeamuwa kununua mazao kuokowa wakulima, kama yote hayo unayifanyiwa na bado unapata hasara, hiyo siyo kazi yako, achana nayo.
Ni kama kwenda kuoa mke na hauna uwezo wa vitendo.
Kaa kimya wewe Bibi,watu wa Pwani na Kilimo wapi na wapi!!Subiri kijana, sasa hivi kuna zaidi y shamba darasa, ufundishwe kulima halafu usifunidishwe masoko? Usifundishwe wakulima wanavyoumizwa? Utakichukia kilimo. Bashe anafanya kweli, kionee darasa hilo:
Siyo anakuwa,yule ni Mkulima.Wanyakyusa ni Wakulima,wewe ushawai kumuona Mnyakyusa Chawa.Yule ni Mjukuu wa Chifu Mwabukusi,anajitambua.Nasikia mwambukusi anakuwa mkulima, anaachana na kazi ya uwakili, hana wateja.
Yaani pesa ya kuwapa TARI wafanyie utafiti eti ndiyo Bajeti ya Kilimo nchi nzima.Bilioni 950 kufanya Kilimo kweli!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani wanawekeza kwenye vitu vya kipuuzi kuwadanganya wajinga, mfano ile ya kugunga GPS kwenye pikipiki za Maofisa Ugani inasaidia nini?
Ukitembelea zile Taasisi za Kilima kama TARI unawaonea huruma, hawana bajeti ya maana sana wanategemea wafadhili, ukitembelea zilizo kuwa shule za michepuo ya kilimo zisha jifia, nenda kwenye vyama vya Ushurika ni sanaaa tupu.