Mkulima wa Tanzania sasa hivi ana kituo cha kisasa cha huduma kwa mtej (,Customer care).
Bashe kwa mara ya kwanza Tanzania, anaifanya Wizara ya kilimo kuwa ni watoa huduma wa kisasa kwa wakulima. Jionee:
Mengine tutaendelea kuwaletea.
Hongera Bashe, Hongera Rais Samia.
Hicho kituo kiko wapi na kinafikiwa vipi?