FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #61
Hiyo ilikuwa zamani, ushoga umewaangusha duniani.Labda unalisikia Kanisa Katoliki kwa juu juu tu. Ndani ya Kanisa Katoliki, hakuna anayeweza kukuruouka na kuropoka kwa suala kama hili. Likitoka tamko la Kanisa Katoliki, tena kupitia TEC, ni tamko wakilishi la maaskofu na taasisi zake zote zinazohusiana na mambo ya utawala.
Ufahamu kuwa karibia mifumo yote ya kiutawala Dunia nzima, hata mifumo ya kimahakama, imerithiwa kutoka Kanisa Katoliki.
Anayeshauriwa ana haki ya kuukataa au kuupokea ushauri. Lakini huo ni msimamo wa Baraza la Maaskofu, na ushauri ukikataliwa, unaenda kufafanuliwa kwa waumini wote mpaka ngazi ya familia ili kila muumini aone ubaya wa mkataba huo.
Nchi na rasilimali zake zote ni zawadi na ni urithi tuliopewa na Mungu wetu. Tuutumie kwa hekima na busara ili na wenzetu watakaokuja baada yetu, nao wawe na nafasi ya kutumia na kufaidika kama tulivyofaidika sisi.
BBT ya Samia Suluhu na Hussein Bashe ni mpango kabambe haujawahi kutokea Afrika, hautakiwi ufanikiwe. Tunalijuwa hilo.
Ardhi ya kilimo inahodhiwa na nani?