Uchaguzi 2020 Membe aenda Tume ya Uchaguzi kuhakiki fomu zake kabla ya kuziwasilisha rasmi kesho

Uchaguzi 2020 Membe aenda Tume ya Uchaguzi kuhakiki fomu zake kabla ya kuziwasilisha rasmi kesho

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Bernard Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya Uchaguzi Jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020.

Membe aliongozana na viongozi mbalimbali wa chama hicho akiwemo mkuu wa ngome ya vijana Abdul Nondo.

Yohana najiuliza huu utaratibu upo siku zote? Na je mgombea urais wa CHADEMA, Tundu Lisu amehakiki fomu zake?

Maendeleo hayana vyama!
 
Hata akiacha tu kwani nini shida mtu mwenyewe inaonyesha atakuja kutuuza huyu!.. swala la ushoga analiita swala la faragha!! Huyu hafai na Kama ni mkiristu wajue kabisa hapa hakuna kiongozi hata angekuwa dini yoyote tu.. hata zile dini mbili kuu zinapinga hilo swala lkn yeye inaonyesha anamsimamo wa kipuuzi tu japo hasemi rasmi maana anajua atajiharibia.. chadema Mara hii sijui mmeweka muwakilishi gani huyu!!..
Msipomfungia kitu mdomoni walahi utawafedhehesha subirini tu..
 
Kisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu

Kumekucha
Screenshot_20200824-165225.png
 
Mbona unahofu sana kuhusu Lissu? Alikuchukulia mkeo? Mind your own business, ya Ngoswe mwachie NGOSWE.

Mgombea urais wa ACT wazalendo Bernad Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya uchaguzi jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020.

Membe aliongozana na viongozi mbalimbali wa chama hicho akiwemo mkuu wa ngome ya vijana Abdul Nondo.

Yohana najiuliza huu utaratibu upo siku zote? Na je mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amehakiki fomu zake?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu
Kwa sheria ipi? Je babayenu mnayemwabudu meenda au Yuki bize na makongamano uchwara
 
Hahahahahhaaha chadema nao wanatoa vitisho ni hv Sheria zitafwatwa kama mmevunja sheria na taratibu za NEC au uchaguzi huyo kibaraka wa mabeberu anatolewa tu then tuone mtafanya nini sasa
Hiv kwa akili yako unafikir hakuna cha kufanya hebu waulize police wa tunduma jana mini kimetokea tatizo mataga matataga sana mwaka huu
 
Hiv kwa akili yako unafikir hakuna cha kufanya hebu waulize police wa tunduma jana mini kimetokea tatizo mataga matataga sana mwaka huu
Chadema hawana cha kufanya labda kule Pemba kwa akina ngangari!
 
Kisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu
Muhuri wanaujua Lumumba nenda mkashauriane na babayenu huko
 
Back
Top Bottom