johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tuYohana najiuliza huu utaratibu upo siku zote? Na je mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amehakiki fomu zake?
Kisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu
Mgombea urais wa ACT wazalendo Bernad Membe leo amekwenda kwenye ofisi za Tume ya uchaguzi jijini Dodoma kuhakiki fomu zake kama ziko sawasawa kabla ya kuziwasilisha rasmi hapo kesho 25/08/2020.
Membe aliongozana na viongozi mbalimbali wa chama hicho akiwemo mkuu wa ngome ya vijana Abdul Nondo.
Yohana najiuliza huu utaratibu upo siku zote? Na je mgombea urais wa Chadema Tundu Lisu amehakiki fomu zake?
Maendeleo hayana vyama!
Haondolewi mtu,chadema hamuamini macho yenu kuvunja kote Sheria hamjaguswa,mna wasiwasi labda mnasubiriwa kuenguliwa.Kumekucha
View attachment 1546833
Hahahahahhaaha chadema nao wanatoa vitisho ni hv Sheria zitafwatwa kama mmevunja sheria na taratibu za NEC au uchaguzi huyo kibaraka wa mabeberu anatolewa tu then tuone mtafanya nini sasaKumekucha
View attachment 1546833
Kwa sheria ipi? Je babayenu mnayemwabudu meenda au Yuki bize na makongamano uchwaraKisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu
Usije ukakimbilia Kenya bwashee kesho siyo mbali!Mbona unahofu sana kuhusu Lissu? Alikuchukulia mkeo? Mind your own business, ya Ngoswe mwachie NGOSWE.
Hiv kwa akili yako unafikir hakuna cha kufanya hebu waulize police wa tunduma jana mini kimetokea tatizo mataga matataga sana mwaka huuHahahahahhaaha chadema nao wanatoa vitisho ni hv Sheria zitafwatwa kama mmevunja sheria na taratibu za NEC au uchaguzi huyo kibaraka wa mabeberu anatolewa tu then tuone mtafanya nini sasa
Usipanic bwashee!Kwa hiyo kwa akili zako za kitoto Membe ndiye kipimo cha kuhakiki! Na wanaotakiwa ni hao wawili! Utoto huo.
Wewe ndo umepanic na mtanyooka tu mwaka huuUsipanic bwashee!
Chadema hawana cha kufanya labda kule Pemba kwa akina ngangari!Hiv kwa akili yako unafikir hakuna cha kufanya hebu waulize police wa tunduma jana mini kimetokea tatizo mataga matataga sana mwaka huu
Muhuri wanaujua Lumumba nenda mkashauriane na babayenu hukoKisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu
Mmekosa hoja mmeishia kuwayawaya tu on petty issue,shame!Kisheria unaruhusiwa,chadema Ni ujuba tu wa kujifanya wanajua kila kitu,utasikia wameleta fomu hazina muhuri we tulia tu