Membe siyo kapi, ni mtu huru aliyefukuzwa CCM kwa sababu ya kupigania haki za wananchi, utawala wa sheria na demokrasia
wanachama hawawezi kuendelea ku support chama ambacho viongozi wake wanaendelea kurudia makosa yale yale ya miaka nenda rudi.Cdm haiwezi kuisha kamwe maana cdm siyo hilo neno cdm, bali ni wanachama
kwani lengo la Chadema ni kuwaletea ukombozi mpya Watanzania au kuwatumia hawa rejects wa CCM kwa manufaa binafsi ya viongozi wa chama?Na akikosa uraisi hata cdm nao hawatakuwa na matumizi naye ,ni bora kweli akarudi ccm baada ya kuukosa urais
Membe anapigania haki?Membe siyo kapi, ni mtu huru aliyefukuzwa CCM kwa sababu ya kupigania haki za wananchi, utawala wa sheria na demokrasia
SawaWeka picha !
wanachama hawawezi kuendelea ku support chama ambacho viongozi wake wanaendelea kurudia makosa yale yale ya miaka nenda rudi.
wakirudia ya Lowasa na Sumaye kwa Membe, ninakuhakikishia chama kitakufa lazima.
Kosa la 2015 linaenda kujirudia tena
Faida gani? Ya wafuasi Wa lowasa kurudi nyumbani?2015 haukuwa hasara kwa chadema Bali ilikuwa ni faida Tena kubwa sana
Faida gani? Ya wafuasi Wa lowasa kurudi nyumbani?
Siasa haziko hivyo tuwe kitu kimoja, hakuna mbovu kama jiwe lakini ccm wameamua kumbeba.Na kwahali hii itachukua miaka Mingi Sana CCM kuitoa madarakani,
Maana wanao onekana hawafai CCM(Makapi) ndo wanaonekana dhahabu upande wa pili..
Safari bado tunayo Tena siyo kidogo.
Naona watu wa propaganda wa CCM mpo kazini. Kwa taarifa yako mmeshafeli na pandikizi lenu Membe.Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
CHADEMA ina maana uwa hakuna wanaoweza kuwa maraisi mpaka msubiri rejected products za CCM. Yani CCM inaacha makapi nyie mnaokota kweli?Ile kiu ya wapinzani(wapinzani halisi) wa Tanzania kupata mkombozi wa kutuvusha hatimaye imefikia pazuri baada ya Membe kukaribishwa ndani ya chadema na hatimaye kusubiri kuwa mgombea wa urais.
Chadema katika siku ambayo mmefanya jambo la maana na umuhimu sana basi ni hii ya kumpa Membe nafasi ya kutuvusha 2020.
Membe ni mwanamkakati na mbobezi kwenye masuala yote ya intelijensia, hivyo ni mtu sahihi kabisa na muhimu kwa wakati huu kuliko wakati wowote ule.
Membe sio Lissu, Membe ana ushawishi, ana mtaji wa watu wengi sana kitu ambacho Lissu hana na kamati kuu imeona hili suala.
Karibu Membe chadema, karibu utupiganie, karibu utuvushe.
#2020 upinzani tunaenda na Membe#
Acha kujipa moyo, yani uokote makapi ya CCM halafu udai wewe ndiye wataka kuleta mabadiriko? Ina maana chama kizima na viongozi na wanachama hakuna aliye bora wakupeperusha kijiti mpaka makapi ya CCM?Siasa haziko hivyo tuwe kitu kimoja, hakuna mbovu kama jiwe lakini ccm wameamua kumbeba.
Inajulikana JPM anaenda kushinda tena,tena kwa kishindo,Ni wakati wa CHADEMA kukijenga chama,ila naona wameamua kujipoteza mazima kwenye dira ya siasa.Kosa la 2015 linaenda kujirudia tena
Hayo hayo makapi yenu yanawatosha hata Nyerere alishasema hayo.Acha kujipa moyo, yani uokote makapi ya CCM halafu udai wewe ndiye wataka kuleta mabadiriko? Ina maana chama kizima na viongozi na wanachama hakuna aliye bora wakupeperusha kijiti mpaka makapi ya CCM?