Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Nimeandika na kama unaelewa wa kutosha sio kukariri utaelewa. Nakumbuka nimeandika kujibu hoja ya nani? Linganisha na huyo nani punguani namwita anachoandika na anachozungumza musiba kisha njoo nikujibuHivi hiki ulichoandika hapa kinahusiana vipi na hii mada
Membe hana ushawishi wa kupasua upinzani.upinzani wa namna hii hauwezi kuitoa CCM madarakani " MUGAMBO WANARUKA NA KUKANYAGANA" teh teh teh teh
Hafai kwako ila kwa watanzania ana faa sana,Nimeandika na kama unaelewa wa kutosha sio kukariri utaelewa. Nakumbuka nimeandika kujibu hoja ya nani? Linganisha na huyo nani punguani namwita anachoandika na anachozungumza musiba kisha njoo nikujibu
Mm ni mtanzania napenda Tanzania sipendi majungu na uchonganishi ndo mana nasema MAGUFULI hafai kuwa raisi wa nchi hii.
Aupasue mara ngapi?Membe hana ushawishi wa kupasua upinzani.
Migogoro ya vyama wanaipika wenyewe halafu utasikia ohh CCM ndio wanachochea migogoro ndani ya vyamaHapo ni mtifuano ACT ambao haupoi leo then ndege tunduni. CCM ni too complicated kuwashinda kwa siasa zetu za kiafrika
Haina impact ...HUWEZI kunielewa. Tatizo wafuasi wengi mnafata upepo tu! Hamna kitu hapo. Zima moto tuMkuu mbona iko wazi hio ACT&BM wanaunga mkono CDM katika uraisi, sheria za uchaguzi wa NEC ndio zinakataza kuwainga mkono kipindi hiki, BM hawezi kili hadharani kwa upande wa bara.
Lakini tujiulize mbona hapigi kampeni nje ya mikoa ya kusini?.
Mkuu, Kwema?Boss wake ambaye ni Maalim Sefu ameshasema Rais wao ni Lissu. Ila mjue Magufuli ndiyo Rais wa Watanzania.
Hapana mkuu,nafahama msimamo wako kabla ya 2015 na baada ya 2015 kwahio limelofanyika sasa, lingefanyika kabla 2015 najua ungeliunga mkono, kwahio niuhuru wako kuona hakuna impact, lakini wengi tunafaham impact ipo.Haina impact ...HUWEZI kunielewa. Tatizo wafuasi wengi mnafata upepo tu! Hamna kitu hapo. Zima moto tu
Mzee body language kwenye ujumbe wa twira 🤭Anazuga tu, angalieni Body language
Mbona kauli ya ACT kumuunga mkono TL imeshatoka leo kupitia BBC.Anazuga tu, angalieni Body language
Kwasasa hakuna reasoning kama ilivyo chaguzi za nyuma. Ni mwendo wa kufata upepo tu ila hamna kitu! Lissu anajitahidi sana ila anapata back up ndogo sanaMigogoro ya vyama wanaipika wenyewe halafu utasikia ohh CCM ndio wanachochea migogoro ndani ya vyama
Hili la wao kuteua wagombea uraisi kwa vikao halali kabisa halafu wanakuja kuwabwaga bila kikao chochote cha kamati kuu wala mkutano mkuu.Hivi mgogoro ukilipuka mida hii ndani ya CHADEMA na ACT WAZALENDO hadi kuvikata katikati hivyo vyama watalaumu CCM kuwa ndio tumeanzisha huo mgogoro?
Chadema wanaweweseka,wanadhani jasusi ana njaa!Kupitia ukurasa wa twitter Ndg. Benard Membe amekanusha kujiondoa mbio za Urais na kumuunga mkono mgombea wa Chadema.
View attachment 1576749
Kwani Mbowe yuko wapi?Kwasasa hakuna reasoning kama ilivyo chaguzi za nyuma. Ni mwendo wa kufata upepo tu ila hamna kitu! Lissu anajitahidi sana ila anapata back up ndogo sana
Kama una uhakika na unachokinena baasi weka bond kitu tangible km vile "kiboga".Mkuu, Kwema?
Usiwe na Shaka, Magufuli ndiye anayesubiri kuapishwa, Hata wangeliungana haitasaidia kitu, Sio mara ya Kwanza kufanya hivyo, 2015 walifanya hivyo tena wakiwa na nguvu kulikoni uchaguzi huu, lakini Bado walipigwa za USO
Temu hii, watapigwa za USO Hadi manundu yatawatoka,
Magufuli kama hajashinda nipigwe Bani hapa miaka yote ya utawala huo
Zimefanyika hesabu mbovu. Subiri matokeoHapana mkuu,nafahama msimamo wako kabla ya 2015 na baada ya 2015 kwahio limelofanyika sasa, lingefanyika kabla 2015 najua ungeliunga mkono, kwahio niuhuru wako kuona hakuna impact, lakini wengi tunafaham impact ipo.
Matokeo kwa TUME hii hayatotofautiana na matokeo ya Maalim zanzibar 2015 , labda Lissu aje nambinu ya Ziada nayo ninguvu ya uma.Zimefanyika hesabu mbovu. Subiri matokeo
Wewe ndio umeua,
2020-2030.[emoji3]