Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

Uchaguzi 2020 Membe akanusha kuiunga mkono CHADEMA, yeye ndiye Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo

Ccm ikiamuru Mahakama itafunguliwa hata Jumapili, mwambieni aende hata kesho.
 
Kama wagombea ubunge wa upinzani wameondolewa kihuni na tume lakini bado hawawezi kwenda mahakamani sembuse na B Membe ?!
 
Meko amekata pumzi anadai nyomi ya lissu ni 2015,sasa ndio atajua kua yeye ni mwepesi tu bila tiss,policeccm,madc,maded hana lake...amebaki kutoa ahadi hewa tu
 
Tena wakimchomoa watakuwa wamemsaidia kupunguza hasara atakayoipata yeye binafsi kuliko ACT wazalendo sabab ACT wazalendo lazima watavuna wabunge kule Zenji! Lakin yeye BM hata akiendelea hatoweza kufika popote, upepo wa Lissu hauzuiliki hata CCM wanapata taabu sana!
 
Membe mpango wake aliotumwa na ccm hata act wameshashituka. Kachero mbobezi yuko kazini arudi tu nyumbani maana mara hii watz wamekataa mipango yote miovu ya CCM.

Btw payslip yake pale tiss inasoma vzr kabisa
 
Back
Top Bottom