johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Sawa ila mgombea urais awe Lissu,Membe asubirie kwanza!Asije kuwa kama Mzee LowassaSiasa siasani
Utamjua wakishaungana!Halafu mpeperusha bendera awe nani kati yao
SawaUtamjua wakishaungana!
Wanasiasa wa Tz wote walewale tuSawa ila mgombea urais awe Lissu,Membe asubirie kwanza!Asije kuwa kama Mzee Lowassa
Au Lisu aende ACT wazalendo!Si angeenda Chadema sasa ?
Sawa ila mgombea urais awe Lissu,Membe asubirie kwanza!Asije kuwa kama Mzee Lowassa
Uzoefu na ukubwa wa chama na hali ya kisiasa kwa sasa ndo itaamua nani amuunge mkono naniSawa ila mgombea urais awe Lissu,Membe asubirie kwanza!Asije kuwa kama Mzee Lowassa
Membe anamzidi sifa Tundu Lisu!Uzoefu na ukubwa wa chama na hali ya kisiasa kwa sasa ndo itaamua nani amuunge mkono nani
Alikuwa wapi siku zote kuin'goa CCM madarakani, angefanya hayo tangu enzi za JK tungejua ana nia ya dhatiMgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Hadi ya risasi 16Membe anamzidi sifa Tundu Lisu!
Mtoa hojaHalafu mpeperusha bendera awe nani kati yao
Wao act mbona 2015 hawakuunganisha nguvu za ukawa?Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!