Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

Feb 1996 Garry Kasparov alishinda Computer ya IBM iliojulikana kama Deep Blue kwa 4-2 those days was fastest Computer. Deep Blue was designed to play chess


Angalau umejaribu kidogo kuelezea kwa maana sikuelewa computer ya ,,kasi ya IBM'' , ...
 
Mtu aliyetumika serikali kwa nyadhifa mbalimbali leo anakuambia tuungane kuiondoa madarakani serikali na chama alichokitumikia kwa miaka lukuki.
Only in bongo
Mkuu unataka kusema hii haijawahi tokea nchi nyingine? Kwamba bongo ukishakuwa mwanachama wa chama fulani au ukaitumikia serikali ndo unakuwa umefunga ndoa na chama hicho au serikali hiyo? Sasa naelewa why wajumbe wa ccm wa nyumba ngapi sijui wapo Kama misukule
 
Hapo kuna hatari wawindaji wakaungana katika windo, wakapata nyama vizuri.

Kimbembe kikaja kwenye kugawana nyama.
Hapana, lazima kwanza makubaliano ya nani atapata kilo ngapi yaafikiwe kabla...wakishakubaliana ndiyo sasa kazi ya kwenda porini inaanza...

Kazi kubwa si kugawana nyama hapana kazi kubwa ni namna ya kumuua mnyama.

Though ur point is challenging....!!
 
Umenikumbusha enzi za miamba wawili wa chess, Garry Kasparov na Anatoly Karpov. Wote Warusi.

Kuna mpambano mmoja ulifanyika mwaka 1984 ulikuwa si wa kitoto.
Hao jamaa walikuwa vichwa,kishoka wanajua chess.
 
Inafikirisha mwanachama ambaye hana mwezi kuomba ushirikiano.
 
He has the ability and skills to be a very leader as compared to Membe who was very quiet when opposition parties were mistreated. On top of that 3 months as a member of opposition party is not sufficient enough for him to be provided with that golden opportunity.

Kwanini awe Lisu?!
 
Kumbe wanaiogopa CCM kiasi hicho😅😅😅 kweli CCM chama kubwa
 
Hapana, lazima kwanza makubaliano ya nani atapata kilo ngapi yaafikiwe kabla...wakishakubaliana ndiyo sasa kazi ya kwenda porini inaanza...

Kazi kubwa si kugawana nyama hapana kazi kubwa ni namna ya kumuua mnyama.

Though ur point is challenging....!!
Watu wenye itikadi tofauti ni vigumu kuungana. Ikiwa itikadi zitazingatiwa.

Na kama hazitazingatiwahapo vurugu ndiyo itakuwa kubwa zaidi.

Kuunganisha nguvu si kitu cha kukurupuka,ama sivyo, wanaweza kushinda urais halafu matatizo yakaanza baada ya kushinda.
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.

Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter

Maendeleo hayana vyama!
Hayo yatakuwa ni maelekezo ya Mwamba. Zitto na Mwamba walishakubaliana coalition ambayo mgombea wake wa uraisi ni Mwembe, mwenye siasa za ustaarabu. Tundu asahau kuwa mgombea uraisi kupitia chadema. Ulikuwa ni mpango wa kumrudisha tu nchini ili aendelee na kesi zake zinazomsubiri.
 
JamiiForums-314180331.jpg


Jr[emoji769]
 
Sa
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.

Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter

Maendeleo hayana vyama!
Safi kabisa haya ndio mambo tunataka kusikia sasa. Tuunganishe nguvu tumtoe mkoloni mweusi October asubuhi.
 
Watu wenye itikadi tofauti ni vigumu kuungana. Ikiwa itikadi zitazingatiwa.

Na kama hazitazingatiwahapo vurugu ndiyo itakuwa kubwa zaidi.

Kuunganisha nguvu si kitu cha kukurupuka,ama sivyo, wanaweza kushinda urais halafu matatizo yakaanza baada ya kushinda.
Urais hawawezi kushinda hata kidogo na wao wanalijua hilo. Lengo ni kupata angalao wabunge dozen moja ili waendelee kupata ruzuku ya serikali.
 
Urais hawawezi kushinda hata kidogo na wao wanalijua hilo. Lengo ni kupata angalao wabunge dozen moja ili waendelee kupata ruzuku ya serikali.
Sijazungumzia habari za kushindwa urais.

Nazungumzia matatizo ambayo yanaweza kujitokeza hata wakiungana na wakishinda urais.
 
Back
Top Bottom