Membe amtaka Tundu Lissu waunganishe nguvu waweze kuitoa CCM madarakani

CHADEMA hawadanganyiki tena, hata uchaguzi uliopita aliyetoa wazo la kuungana siyo CHADEMA ni Lipumba wa CUF bwana nterahamwe alipoona mambo yameanza kunoga akawaacha wenzake solemba na kutimkia Rwanda kutumbua.
 
Mtu aliyetumika serikali kwa nyadhifa mbalimbali leo anakuambia tuungane kuiondoa madarakani serikali na chama alichokitumikia kwa miaka lukuki.
Only in bongo
[/QUOTaaisee sisi malofa na wapumbavu
 
Mkuu ww lazima utakuwa na muhenga, huyo mcheza chess mbona sijawahi kumsikia? Hope atakuwa ni wa zamani.
Huyu Garry Kasparov ni Chess Grandmaster Mrusi aliyekuwa bingwa wa chess dunia kutoka 1986 hadi 2005 alipostaafu alikuwa chess no 1.
Nakumbuka kuna wakati aliifunga computer yenye kasi ya IBM.
Yaani huyu kishoka alikuwa habari kubwa.
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.

Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter

Maendeleo hayana vyama!
Sawa....aje tufanye kazi...

Uzuri wa Membe ana akili....

Nimependa alivyokwenda huko ili kumchanganya adui...hajui ashambulie wapi...ACT AMA CDM.

Haya ni mafunzo nadra sana...ni wachache tu tunaelewa why Maalim na Membe wamechagua kwenda huko.

..
Spread to allow your emeny to ......"
 
Umenikumbusha enzi za miamba wawili wa chess, Garry Kasparov na Anatoly Karpov. Wote Warusi.

Kuna mpambano mmoja ulifanyika mwaka 1984 ulikuwa si wa kitoto.
 
Huyu Garry Kasparov ni Chess Grandmaster Mrusi aliyekuwa bingwa wa chess dunia kutoka 1986 hadi 2005 alipostaafu alikuwa chess no 1.
Nakumbuka kuna wakati aliifunga computer yenye kasi ya IBM.
Yaani huyu kishoka alikuwa habari kubwa.

Computer ,,yenye kasi ya IBM'' ndo kasi gani ya Computer hiyo?
 
Sawa....aje tufanye kazi...

Uzuri wa Membe ana akili....

Nimependa alivyokwenda huko ili kumchanganya adui...hajui ashambulie wapi...ACT AMA CDM.

Haya ni mafunzo nadra sana...ni wachache tu tunaelewa why Maalim na Membe wamechagua kwenda huko.

..
Spread to allow your emeny to ......"
Ni kwamba Tundu Lisu aende ACT wazalendo!
 
Kuunganisha nguvu si wazo baya hata kidogo naliunga mkono ila mgombea wa upinzani awe ni Lissu.

Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.

Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter

Maendeleo hayana vyama!
 
Yani kafika jana leo kesha enda kwa Membe?!

Huyo Membe alimuomba na Nyarandu au ndio analazimisha baraza kuu wampitishe Tundu Lisu?!

Sasa anayeamua ACT iungane na CHADEMA ni Membe au Maalim na Zito?!
 
Computer ,,yenye kasi ya IBM'' ndo kasi gani ya Computer hiyo?
Feb 1996 Garry Kasparov alishinda Computer ya IBM iliojulikana kama Deep Blue kwa 4-2 those days was fastest Computer. Deep Blue was designed to play chess
 
Back
Top Bottom