peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Ongeza sauti
Siku ya Simba na Yanga, JPM alivaa nguo yenye rangi zote za Simba na upande mwingine Yanga!Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Ni Mchezo mgumu kama Chess sijui nani ni Kasparov kwani mazingira yamebadirika kabisa katika siku hizi tano.
Kikubwa zaidi ni wapinzani kuunganisha nguvu na ushawishi wa pammoja.
Chadema ina nguvu yake ya binafsi sidhani kama kuungana kuna faida yoyoyte
Umenena fact mkuu.Wao act mbona 2015 hawakuunganisha nguvu za ukawa?
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Hatari sanaaWanasiasa wa Tz wote walewale tu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani ACT inanguvu gani? wachovu tu, wewe machinga unataka kuunganisha nguvu na Bhakresa ili mshindane na bill gate kweli?
Wanataka wao wawe chama kikuu cha upinzani,sidhani Chadema kama watakubali otherwise asimamishwe mgombea urais kutoka CHADEMA.Wao act mbona 2015 hawakuunganisha nguvu za ukawa?
Use him to get them...Mtu aliyetumika serikali kwa nyadhifa mbalimbali leo anakuambia tuungane kuiondoa madarakani serikali na chama alichokitumikia kwa miaka lukuki.
Only in bongo
LissuHalafu mpeperusha bendera awe nani kati yao
Yaliyopita si ndweleWao act mbona 2015 hawakuunganisha nguvu za ukawa?
Uzuri wote wanauzika kimataifa,jiwe kabaki alone kawekeza kwenye dola badala ya watu.Upo sahihi kabisa. Act Wazalendo walimkimbia Chadema Kwa hiyo this time kiunganishe nguvu na Chadema, bendera ibebwe na Tundu!
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!