Feb 1996 Garry Kasparov alishinda Computer ya IBM iliojulikana kama Deep Blue kwa 4-2 those days was fastest Computer. Deep Blue was designed to play chess
Mkuu unataka kusema hii haijawahi tokea nchi nyingine? Kwamba bongo ukishakuwa mwanachama wa chama fulani au ukaitumikia serikali ndo unakuwa umefunga ndoa na chama hicho au serikali hiyo? Sasa naelewa why wajumbe wa ccm wa nyumba ngapi sijui wapo Kama misukuleMtu aliyetumika serikali kwa nyadhifa mbalimbali leo anakuambia tuungane kuiondoa madarakani serikali na chama alichokitumikia kwa miaka lukuki.
Only in bongo
Hapana, lazima kwanza makubaliano ya nani atapata kilo ngapi yaafikiwe kabla...wakishakubaliana ndiyo sasa kazi ya kwenda porini inaanza...Hapo kuna hatari wawindaji wakaungana katika windo, wakapata nyama vizuri.
Kimbembe kikaja kwenye kugawana nyama.
Hao jamaa walikuwa vichwa,kishoka wanajua chess.Umenikumbusha enzi za miamba wawili wa chess, Garry Kasparov na Anatoly Karpov. Wote Warusi.
Kuna mpambano mmoja ulifanyika mwaka 1984 ulikuwa si wa kitoto.
Sisi enzi hizo tunasoma news in briefAngalau umejaribu kidogo kuelezea kwa maana sikuelewa computer ya ,,kasi ya IBM'' , ...
Kwanini awe Lisu?!Kuunganisha nguvu si wazo baya hata kidogo naliunga mkono ila mgombea wa upinzani awe ni Lissu.
Nashangaa piaKwani lisu kapitishwa na chama chake kuwa mgombea au wanajaribu kumpigia kampeni achaguliwe
Kwanini awe Lisu?!
Watu wenye itikadi tofauti ni vigumu kuungana. Ikiwa itikadi zitazingatiwa.Hapana, lazima kwanza makubaliano ya nani atapata kilo ngapi yaafikiwe kabla...wakishakubaliana ndiyo sasa kazi ya kwenda porini inaanza...
Kazi kubwa si kugawana nyama hapana kazi kubwa ni namna ya kumuua mnyama.
Though ur point is challenging....!!
Hayo yatakuwa ni maelekezo ya Mwamba. Zitto na Mwamba walishakubaliana coalition ambayo mgombea wake wa uraisi ni Mwembe, mwenye siasa za ustaarabu. Tundu asahau kuwa mgombea uraisi kupitia chadema. Ulikuwa ni mpango wa kumrudisha tu nchini ili aendelee na kesi zake zinazomsubiri.Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Lisa una mambo weye!! Nimekupendaje Muda uuu!!Lissu Rais..
Membe embu tuache kwanza
Safi kabisa haya ndio mambo tunataka kusikia sasa. Tuunganishe nguvu tumtoe mkoloni mweusi October asubuhi.Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo Bernard Membe amemkaribisha Tundu Lissu nyumbani na kumtaka waunganishe nguvu ili iwe rahisi kuing'oa CCM madarakani.
Hayo yameelezwa na ACT Wazalendo katika ukurasa wao wa twitter
Maendeleo hayana vyama!
Mimi kwa akili zangu ndogo lisu agombee ubunge membe urais ili hata wakikosa kiti cha urais mishe mishe zikaendelee bungeni,over and outSawa ila mgombea urais awe Lissu,Membe asubirie kwanza!Asije kuwa kama Mzee Lowassa
Urais hawawezi kushinda hata kidogo na wao wanalijua hilo. Lengo ni kupata angalao wabunge dozen moja ili waendelee kupata ruzuku ya serikali.Watu wenye itikadi tofauti ni vigumu kuungana. Ikiwa itikadi zitazingatiwa.
Na kama hazitazingatiwahapo vurugu ndiyo itakuwa kubwa zaidi.
Kuunganisha nguvu si kitu cha kukurupuka,ama sivyo, wanaweza kushinda urais halafu matatizo yakaanza baada ya kushinda.
Sijazungumzia habari za kushindwa urais.Urais hawawezi kushinda hata kidogo na wao wanalijua hilo. Lengo ni kupata angalao wabunge dozen moja ili waendelee kupata ruzuku ya serikali.