johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
- Thread starter
-
- #81
Hakika lengo ni ruzuku!Urais hawawezi kushinda hata kidogo na wao wanalijua hilo. Lengo ni kupata angalao wabunge dozen moja ili waendelee kupata ruzuku ya serikali.
Lisu anafaa zaidi bungeni!Mimi kwa akili zangu ndogo lisu agombee ubunge membe urais ili hata wakikosa kiti cha urais mishe mishe zikaendelee bungeni,over and out
ulimsikia akiongea au ni kauli za watuNajiuliza Membe ni nani ACT Wazalendo na Tundu Lisu ni nani CHADEMA?. Kauli za kukaribisha kuunga nguvu n. k zinatakiwa kutolewa na nani. Sijawahi waelewa wapinzani na hawaeleweki.
Swafii...mnyama atauawa na kilo zake zitagawanywa sawa kwa sawa....kadri ya makubaliano.
Hapo alipo ni pazuri sana kwa manufaa ya vyama vyote viwili, yaani CHADEMA na ACT -Wazalendo.Si angeenda Chadema sasa ?
Hahahahhahahahahahah.. ..Utamjua wakishaungana!