mserekale
Member
- Jul 4, 2019
- 79
- 103
Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!
To me, membe is a real deal. why..?
#Mwl Nyerere hakuwa mjinga wala hakukurupuka kusema ccm itaangushwa na wana ccm wenyewe..! Mwalimu aliona mbali na ukweli wa kauli yake unadhihirika hivi leo ambapo mfumo dola umeegemea upande wa chama tawala...!! Katika situation kama hii..! it is real impossible kwa mtu kama Lissu aliyekulia nje ya mfumo dola kugombea na kushinda..!! angalau benard membe aliyekulia kwenye mfumo huo anaweza kugombea na kuonyesha matumaini ya ushindi...!!...Hilo la kwanza,
#La pili..!! membe na lissu wote ni wajenzi wazuri wa hoja zao lakini kitu ambacho lissu anapungiwa ni hekima ya kuwasilisha hoja zake kwa wananchi, Mara nyingi hutumia lugha na maneno makali yenye viashiria vya matusi na uchochezi jambo litakalomkosesha mvuto wa kisiasa na hatimaye kupuuzwa na wananchi wakati wa kampeni....!!..
#kumsimamisha membe kutafanya wana ccm wasiokubaliana na utawala huu kumpigia kura yeye...!!. Hivo membe up to this point ana uhakika wa kuokoteleza kura nyingi za wana ccm wasiokubaliana na bwana jonh..!!
#kwenye uchaguzi huu kura zitapigwa kikanda. Bwana jonh ngome yake iko kanda ya ziwa ambako ana uhakika wa kujinyakulia ushindi...! Sioni kama chadema kuna kanda yoyote mnayotegemea kama ngome yenu ya ushindi...! Mtumieni membe awavushe kanda ya kusini kisha mjipange kwenye kanda zingine zilizobaki...!!
#ni ukweli usio na shaka lissu na membe ukiwaweka kwenye mizania sawa ya kisiasa utagundua kuwa lissu anakubalika zaidi ndani ya chama chake wakati huo membe anakubalika zaidi kwa wananchi wote wakiwemo wana ccm asilia..!! Kazi kwenu chadema kupitisha mtu anayekubalika ndani ya chama au kupitisha mtu anayekubalika kwa wananchi....!!
#Kazi kwenu chadema msijesema hatukuwashauri...!!!
Zaidi nisome nilichoshauri kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa..!
vyama vya upinzani visisimamishe wagombea uchaguzi serikali za mitaa