barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Huyo ndio mgombea huko, kubali hilo.Iondoe CDM katika hilo suala.
😃😃😃 Unabashiri vitu ambavyo havipo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndio mgombea huko, kubali hilo.Iondoe CDM katika hilo suala.
😃😃😃 Unabashiri vitu ambavyo havipo.
Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!
To me, membe is a real deal. why..?
#Mwl Nyerere hakuwa mjinga wala hakukurupuka kusema ccm itaangushwa na wana ccm wenyewe..! Mwalimu aliona mbali na ukweli wa kauli yake unadhihirika hivi leo ambapo mfumo dola umeegemea upande wa chama tawala...!! Katika situation kama hii..! it is real impossible kwa mtu kama Lissu aliyekulia nje ya mfumo dola kugombea na kushinda..!! angalau benard membe aliyekulia kwenye mfumo huo anaweza kugombea na kuonyesha matumaini ya ushindi...!!...Hilo la kwanza,
#La pili..!! membe na lissu wote ni wajenzi wazuri wa hoja zao lakini kitu ambacho lissu anapungiwa ni hekima ya kuwasilisha hoja zake kwa wananchi, Mara nyingi hutumia lugha na maneno makali yenye viashiria vya matusi na uchochezi jambo litakalomkosesha mvuto wa kisiasa na hatimaye kupuuzwa na wananchi wakati wa kampeni....!!..
#kumsimamisha membe kutafanya wana ccm wasiokubaliana na utawala huu kumpigia kura yeye...!!. Hivo membe up to this point ana uhakika wa kuokoteleza kura nyingi za wana ccm wasiokubaliana na bwana jonh..!!
#kwenye uchaguzi huu kura zitapigwa kikanda. Bwana jonh ngome yake iko kanda ya ziwa ambako ana uhakika wa kujinyakulia ushindi...! Sioni kama chadema kuna kanda yoyote mnayotegemea kama ngome yenu ya ushindi...! Mtumieni membe awavushe kanda ya kusini kisha mjipange kwenye kanda zingine zilizobaki...!!
#ni ukweli usio na shaka lissu na membe ukiwaweka kwenye mizania sawa ya kisiasa utagundua kuwa lissu anakubalika zaidi ndani ya chama chake wakati huo membe anakubalika zaidi kwa wananchi wote wakiwemo wana ccm asilia..!! Kazi kwenu chadema kupitisha mtu anayekubalika ndani ya chama au kupitisha mtu anayekubalika kwa wananchi.
vyama vya upinzani visisimamishe wagombea uchaguzi serikali za mitaa
Hivi mnaamini kabisa kuwa Lissu atarudi Tanzania hivi karibuni??Ni Bora tudondokee pua kwa kumsimamisha Lissu kuliko kurudia ujinga wa mwaka 2015...
Time is our great partner katika hili.TusubiriHuyo ndio mgombea huko, kubali hilo.
Mkuu unajipa matumaini hewa tu, Watanzania hatuko civilised hivyo eti tufanye waliyofanya Malawi.. Hakuna hiyo kitu boss.## Uko vizuri kwa propaganda za kuingiza watu kichakani na kuwachinja bila wao kujua kuwa wanaenda machinjioni....
## Ushauri wako juu ya uchaguzi wa SZM mwaka jana hauwezi kuwa msingi. Ulibeti na ukabahatika. This time mkeka wako umeshachanika maana game ya kwanza tu, matokeo ni kinyume chako...!
## uchaguzi utaamuliwa kikanda. Jiwe anakubalika Kanda ya Ziwa Victoria (Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Geita, Mara na Kagera)...
Kwa hoja hii, sijui unaandika ukiwa wapi. Inawezekana uko DSM ama Dodoma. Mimi naposti ujumbe huu kwako nikiwa Kanda hii. Niko Shinyanga. Siyo kweli. Jiwe hana kura za moja kwa moja huku. Hakubaliki unless ashawishi watu. Hakuna "automatic votes" kwa kigezo cha "usukuma wake"...
Ipo mikoa kama Mara na Kagera. Huko hawaishi wasukuma. Wataweza kumchagua kwa nini amefanya. Lazima atoe ushawishi...!!
## Kuhusu Tundu Lissu kukubalika ndani ya chama yake. Yes, may be you are right. Labda...
Labda hujui na hutambui kuwa CHADEMA kina wanachama zaidi ya milioni 10 achilia mbali mashabiki na wapenzi. Sasa kama anakubalika ndani ya chama kwa kura zaidi 10M hajashinda huyo???
##. Sikia ndugu. CCM na MAGUFULI hawakubaliki na hawapendeki Tanzania. Magufuli is dead horse.
Yote uliyoyaeleza hapo juu kwenye bandiko lako hayana impact kwake wala CCM yake...
We can agree on one thing; kwamba, Magufuli anaweza kushinda kwa kutumia nguvu za kimfumo wa dola (fedha za umma, polisi, jeshi na TISS)...
Akilazimisha kutwaa ushindi mwaka huu 2020 hata atakapokuwa ameshindwa (na ofcoz ndivyo ilivyo) hapo ndipo mtakapoona yanayotokea nchi zingine hususaani Malawi juzi kati yakitokea Tanzania....
Ataiona NGUVU YA UMMA (PEOPLE'S POWER) in its reality...
MAJIRA na NYAKATI ya haya kutokea ni SASA siyo KESHO tena....!!!
Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!
To me, membe is a real deal. why..?
#Mwl Nyerere hakuwa mjinga wala hakukurupuka kusema ccm itaangushwa na wana ccm wenyewe..! Mwalimu aliona mbali na ukweli wa kauli yake unadhihirika hivi leo ambapo mfumo dola umeegemea upande wa chama tawala...!! Katika situation kama hii..! it is real impossible kwa mtu kama Lissu aliyekulia nje ya mfumo dola kugombea na kushinda..!! angalau benard membe aliyekulia kwenye mfumo huo anaweza kugombea na kuonyesha matumaini ya ushindi...!!...Hilo la kwanza,
#La pili..!! membe na lissu wote ni wajenzi wazuri wa hoja zao lakini kitu ambacho lissu anapungiwa ni hekima ya kuwasilisha hoja zake kwa wananchi, Mara nyingi hutumia lugha na maneno makali yenye viashiria vya matusi na uchochezi jambo litakalomkosesha mvuto wa kisiasa na hatimaye kupuuzwa na wananchi wakati wa kampeni....!!..
#kumsimamisha membe kutafanya wana ccm wasiokubaliana na utawala huu kumpigia kura yeye...!!. Hivo membe up to this point ana uhakika wa kuokoteleza kura nyingi za wana ccm wasiokubaliana na bwana jonh..!!
#kwenye uchaguzi huu kura zitapigwa kikanda. Bwana jonh ngome yake iko kanda ya ziwa ambako ana uhakika wa kujinyakulia ushindi...! Sioni kama chadema kuna kanda yoyote mnayotegemea kama ngome yenu ya ushindi...! Mtumieni membe awavushe kanda ya kusini kisha mjipange kwenye kanda zingine zilizobaki...!!
#ni ukweli usio na shaka lissu na membe ukiwaweka kwenye mizania sawa ya kisiasa utagundua kuwa lissu anakubalika zaidi ndani ya chama chake wakati huo membe anakubalika zaidi kwa wananchi wote wakiwemo wana ccm asilia..!! Kazi kwenu chadema kupitisha mtu anayekubalika ndani ya chama au kupitisha mtu anayekubalika kwa wananchi....!!
#Kazi kwenu chadema msijesema hatukuwashauri...!!!
Zaidi nisome nilichoshauri kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa..!
vyama vya upinzani visisimamishe wagombea uchaguzi serikali za mitaa
Kwa maono yangu, Lowasa alikuwa na mvuto zaidi na maandalizi makubwa kuliko Membe. Kwa mantiki hiyo sioni maajabu ya kumpa ushindiKati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!
To me, membe is a real deal. why..?
#Mwl Nyerere hakuwa mjinga wala hakukurupuka kusema ccm itaangushwa na wana ccm wenyewe..! Mwalimu aliona mbali na ukweli wa kauli yake unadhihirika hivi leo ambapo mfumo dola umeegemea upande wa chama tawala...!! Katika situation kama hii..! it is real impossible kwa mtu kama Lissu aliyekulia nje ya mfumo dola kugombea na kushinda..!! angalau benard membe aliyekulia kwenye mfumo huo anaweza kugombea na kuonyesha matumaini ya ushindi...!!...Hilo la kwanza,
#La pili..!! membe na lissu wote ni wajenzi wazuri wa hoja zao lakini kitu ambacho lissu anapungiwa ni hekima ya kuwasilisha hoja zake kwa wananchi, Mara nyingi hutumia lugha na maneno makali yenye viashiria vya matusi na uchochezi jambo litakalomkosesha mvuto wa kisiasa na hatimaye kupuuzwa na wananchi wakati wa kampeni....!!..
#kumsimamisha membe kutafanya wana ccm wasiokubaliana na utawala huu kumpigia kura yeye...!!. Hivo membe up to this point ana uhakika wa kuokoteleza kura nyingi za wana ccm wasiokubaliana na bwana jonh..!!
#kwenye uchaguzi huu kura zitapigwa kikanda. Bwana jonh ngome yake iko kanda ya ziwa ambako ana uhakika wa kujinyakulia ushindi...! Sioni kama chadema kuna kanda yoyote mnayotegemea kama ngome yenu ya ushindi...! Mtumieni membe awavushe kanda ya kusini kisha mjipange kwenye kanda zingine zilizobaki...!!
#ni ukweli usio na shaka lissu na membe ukiwaweka kwenye mizania sawa ya kisiasa utagundua kuwa lissu anakubalika zaidi ndani ya chama chake wakati huo membe anakubalika zaidi kwa wananchi wote wakiwemo wana ccm asilia..!! Kazi kwenu chadema kupitisha mtu anayekubalika ndani ya chama au kupitisha mtu anayekubalika kwa wananchi....!!
#Kazi kwenu chadema msijesema hatukuwashauri...!!!
Zaidi nisome nilichoshauri kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa..!
vyama vya upinzani visisimamishe wagombea uchaguzi serikali za mitaa
Una hoja nzuri, ila natofautiana na wewe katika mtazamo wa Urais! Upinzani sawa uweke mtu mwenye kukubalika. Fine, lkn sidhani kama kwa "miafrika" na akili zetu tunachagua mtu kwa kutazama sera, utendaji etc. Huku ni njaa, undugunisation, party politics/partisan, urafiki, wa kwetu kanda ya ziwa, rafiki and the like!
My point is:
1. Upinzani ukazane kupata viti vingi vya wabunge. BASI! Ukiwa na wingi wa viti bungeni, wewe ni "RAIS" maana upuuzi wa ndiooooooooooooooooooooooooooooooooooo hautakuwepo!
2. Tunafanyaje kupata wabunge hao? Ndilo nakutaka utoe mawazo!
Watu wengine bhana😂, yaani unawaza chadema kushinda uchaguzi kweli!??, hivi upo kwenye akili za wapiga kura!?, Mtaishia kuleta thread kama hizi lakini lakini chadema kuchukua dola ni ndoto. Trust me mkuu.Kati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!
To me, membe is a real deal. why..?
#Mwl Nyerere hakuwa mjinga wala hakukurupuka kusema ccm itaangushwa na wana ccm wenyewe..! Mwalimu aliona mbali na ukweli wa kauli yake unadhihirika hivi leo ambapo mfumo dola umeegemea upande wa chama tawala...!! Katika situation kama hii..! it is real impossible kwa mtu kama Lissu aliyekulia nje ya mfumo dola kugombea na kushinda..!! angalau benard membe aliyekulia kwenye mfumo huo anaweza kugombea na kuonyesha matumaini ya ushindi...!!...Hilo la kwanza,
#La pili..!! membe na lissu wote ni wajenzi wazuri wa hoja zao lakini kitu ambacho lissu anapungiwa ni hekima ya kuwasilisha hoja zake kwa wananchi, Mara nyingi hutumia lugha na maneno makali yenye viashiria vya matusi na uchochezi jambo litakalomkosesha mvuto wa kisiasa na hatimaye kupuuzwa na wananchi wakati wa kampeni....!!..
#kumsimamisha membe kutafanya wana ccm wasiokubaliana na utawala huu kumpigia kura yeye...!!. Hivo membe up to this point ana uhakika wa kuokoteleza kura nyingi za wana ccm wasiokubaliana na bwana jonh..!!
#kwenye uchaguzi huu kura zitapigwa kikanda. Bwana jonh ngome yake iko kanda ya ziwa ambako ana uhakika wa kujinyakulia ushindi...! Sioni kama chadema kuna kanda yoyote mnayotegemea kama ngome yenu ya ushindi...! Mtumieni membe awavushe kanda ya kusini kisha mjipange kwenye kanda zingine zilizobaki...!!
#ni ukweli usio na shaka lissu na membe ukiwaweka kwenye mizania sawa ya kisiasa utagundua kuwa lissu anakubalika zaidi ndani ya chama chake wakati huo membe anakubalika zaidi kwa wananchi wote wakiwemo wana ccm asilia..!! Kazi kwenu chadema kupitisha mtu anayekubalika ndani ya chama au kupitisha mtu anayekubalika kwa wananchi....!!
#Kazi kwenu chadema msijesema hatukuwashauri...!!!
Zaidi nisome nilichoshauri kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa..!
vyama vya upinzani visisimamishe wagombea uchaguzi serikali za mitaa
Mkuu unajipa matumaini hewa tu, Watanzania hatuko civilised hivyo eti tufanye waliyofanya Malawi.. Hakuna hiyo kitu boss.
Leo si tulikubaliana kuwe na 77 Nyeupe, vipi raia wameitikiaje hiyo?? Boss amini kwa raia sisi CCM itatawala mpaka itakapoamua kusema basi, la sivyo labda hiki kizazi kife na kutokomea chote..
From the top to the bottom Watanzania ni watu waoga kiasili. Tunaogopa hata kuingia kwenye soko la pamoja la EA eti kwa hofu ya kupoteza ajira na ardhi kwa Wakenya na wengine. We are inferiors by nature, PLS ACHANA NA MAWAZO ETI CCM WAKIJISHINDISHA WATU WATAINGIA BARABARANI. ONDOA HILO WAZO UNAJIDANGANYA
Endelea kutokuamini bcHivi mnaamini kabisa kuwa Lissu atarudi Tanzania hivi karibuni??
Mlikubaliana na nani hili la 77?
Angalieni, huu usije ukawa ndiyo ukweli kwenu/kwao....KUJIPA MATUMAINI HEWA...
Naamini katika falsafa ya;
".....hakuna cha asili ya binadamu kisichokuwa na mwanzo wake na vivyo hivyo mwisho wake....."
Historia iko wazi sana juu ya hili. Hakuna ubabe uliodumu kwa miongo mingi...
Na ubabe na uhahari huanguka katika majira na nyakati ambapo wahusika hudhani ndiyo wako imara zaidi kuliko nyakati zingine zote...
Haya ndiyo matumaini hewa. Hayatambui nguvu inayotawala uumbaji huu...
Unaota mchana kweupe.
Kutwa kucha kusifia miradi uku Maisha magumu vilevileKila chenye mwanzo, hakikosi kuwa na mwisho. CCM mwisho umefika, wana lumumba waanze kutafuta ajira katika "VIBANDA VYA CHIPSI" sasa.
Sasa Lengo la Membe ni kuiangusha CCM ili afanye kitu gani kipya, ebu acheni kituzingua. Kwanza chama cha Siasa tunachokitaka ni chama kinachoitwa JPM Philosophy. Hatuna Muda na waomba neti kwa kutoa Tanzanite, Diamond, PlatinumKati ya kipindi ambacho Chadema kinapaswa kuwa makini ni hiki cha kuteua mgombea wake wa urais atakayechuana na bwana jonh wa CCM..!
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!
To me, membe is a real deal. why..?
#Mwl Nyerere hakuwa mjinga wala hakukurupuka kusema ccm itaangushwa na wana ccm wenyewe..! Mwalimu aliona mbali na ukweli wa kauli yake unadhihirika hivi leo ambapo mfumo dola umeegemea upande wa chama tawala...!! Katika situation kama hii..! it is real impossible kwa mtu kama Lissu aliyekulia nje ya mfumo dola kugombea na kushinda..!! angalau benard membe aliyekulia kwenye mfumo huo anaweza kugombea na kuonyesha matumaini ya ushindi...!!...Hilo la kwanza,
#La pili..!! membe na lissu wote ni wajenzi wazuri wa hoja zao lakini kitu ambacho lissu anapungiwa ni hekima ya kuwasilisha hoja zake kwa wananchi, Mara nyingi hutumia lugha na maneno makali yenye viashiria vya matusi na uchochezi jambo litakalomkosesha mvuto wa kisiasa na hatimaye kupuuzwa na wananchi wakati wa kampeni....!!..
#kumsimamisha membe kutafanya wana ccm wasiokubaliana na utawala huu kumpigia kura yeye...!!. Hivo membe up to this point ana uhakika wa kuokoteleza kura nyingi za wana ccm wasiokubaliana na bwana jonh..!!
#kwenye uchaguzi huu kura zitapigwa kikanda. Bwana jonh ngome yake iko kanda ya ziwa ambako ana uhakika wa kujinyakulia ushindi...! Sioni kama chadema kuna kanda yoyote mnayotegemea kama ngome yenu ya ushindi...! Mtumieni membe awavushe kanda ya kusini kisha mjipange kwenye kanda zingine zilizobaki...!!
#ni ukweli usio na shaka lissu na membe ukiwaweka kwenye mizania sawa ya kisiasa utagundua kuwa lissu anakubalika zaidi ndani ya chama chake wakati huo membe anakubalika zaidi kwa wananchi wote wakiwemo wana ccm asilia..!! Kazi kwenu chadema kupitisha mtu anayekubalika ndani ya chama au kupitisha mtu anayekubalika kwa wananchi....!!
#Kazi kwenu chadema msijesema hatukuwashauri...!!!
Zaidi nisome nilichoshauri kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa..!
vyama vya upinzani visisimamishe wagombea uchaguzi serikali za mitaa
Kweli membe ni threat mpaka wewe unalia lia ivyo kada?Upinzani Kama mkirudia kosa mlilolifanya 2015 la kumpokea yule mzee mwenye nywele yeupe ndo utakuwa mwisho wenu kisiasa.
CCM Ina mbinu nyingi Sana za kucheza na wapinzani kinachonisikitisha nikuwa Wapinzani nao huwa hawajishitukii hata japo Kuna watu smart kabisa huko..
Je nikweli Wanachama wote wa vyama vya Upinzani hayopo hata mmoja Alie Bora zaidi ya Membe?
Na je Membe asingefukuzwa huko kwake asilia Msingesimamisha Mgombea?
Je nikweli Upinzani bila Membe hauna Nguvu?
Mwisho; Ni wakati wa kujenga Upinzani imara Sasa na Wala siyo Upinzani uliojaa mamuluki.