kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Na ww unajipa matumaini kuwa haiwezekani??...subiri mwaka huu utajionea mwenyewe..tunaingia na hamtaamini na masikio yenuMkuu unajipa matumaini hewa tu, Watanzania hatuko civilised hivyo eti tufanye waliyofanya Malawi.. Hakuna hiyo kitu boss.
Leo si tulikubaliana kuwe na 77 Nyeupe, vipi raia wameitikiaje hiyo?? Boss amini kwa raia sisi CCM itatawala mpaka itakapoamua kusema basi, la sivyo labda hiki kizazi kife na kutokomea chote..
From the top to the bottom Watanzania ni watu waoga kiasili. Tunaogopa hata kuingia kwenye soko la pamoja la EA eti kwa hofu ya kupoteza ajira na ardhi kwa Wakenya na wengine. We are inferiors by nature, PLS ACHANA NA MAWAZO ETI CCM WAKIJISHINDISHA WATU WATAINGIA BARABARANI. ONDOA HILO WAZO UNAJIDANGANYA