Uchaguzi 2020 Membe anaweza shinda uchaguzi ujao. CHADEMA kazi kwenu

Kwa nikujuavyo sikutegemea ungekuja na hoja mdororo namna hii...!! If that so, kuna haja gani sasa ya kwenda kushiriki uchaguzi ambao mnajua mtaambulia kura million 5...??

Kuna popote naunga mkono kushiriki uchaguzi huu bila uwepo wa tume huru ya uchaguzi?
 
Alishindwa Lowassa wakati Magufuli alikuwa hajulikani, sembuse hivi sasa baada ya mafanikio yote aliyo yafanya? Endele kuota njozi zako za mchana. One day they may come true!
 
Kwa mfumo wa uchaguzi wa Tanzania hata CCM wakiweka tofali na upinzani ukaweka mtu, tofali litashinda.
 
Kumbe lengo ni kujenga upinzani imara na siyo kushika dola....? Karne hii bado mnawaza kuwa chama kikuu cha upinzani badala ya kushika hatamu..??
Mkuu unaanza je kujenga nyumba imara pasipo kuwa na msingi imara?

Unaanzaje kuingia ikulu pasipo kuwa na chama imara kinachoaminika kwa wananchi?
 
Kweli membe ni threat mpaka wewe unalia lia ivyo kada?
Sijawahi kuwa kada wa chama chochote ndugu. Kwahiyo naomba tu upunguze hiyo pressure ya siasa iliyokupanda ili tuelewane vizuri.
 
Who are you ?
Lini ulianza kuiombea mema CHADEMA?
Una akili timamu?
Huyo pandikizi aliyevurugwa Mr. MEMBE mpitishe wewe awe mgombea kwenye familia yako.
Mimi ni mtu wa Lindi but siwezi kumpa kura ya Urais Membe.
 
Nguvu ya uma ya kweli kweli haizuiwi na tume huru au isiyo huru. Kama umma ukimuelewa na ukimkubali mgombea, tume haiwezi kuzuia, hata kama sio 'huru'.

Nguvu ya umma ya nchi gani?
 
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!

CHADEMA hawajawahi kukosea
 
Kama CHADEMA kitashindwa kupanga kete zake vizuri za kumpata mtu sahihi katika nafasi ya Rais ni dhahiri kitadondokea pua kwenye uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Oktoba mwaka huu...!

CHADEMA hawajawahi kukosea
Ushindi lazima ... Tikisa tunguli Kaka [emoji16][emoji16]
 
Alishindwa Lowassa wakati Magufuli alikuwa hajulikani, sembuse hivi sasa baada ya mafanikio yote aliyo yafanya? Endele kuota njozi zako za mchana. One day they may come true!

..kutokujulikana ndio ilikuwa advantage ya Jpm.

..sasa hivi wapiga kura wameshamjua kuwa ni MKATILI na MBAGUZI.
 

Mhe Membe kushinda uchaguzi wa 28/10/2020 haiwezi kutokea kama jimbo lake la ‘MTAMA’ kashalipoteza itawezekanaje nchi nzima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…