Uchaguzi 2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

Wakiliongelea hilo tu wategemee kutoambulia kura usukumani ambako ndio kunawapiga kura wengi,Wasukuma watapiga kura kikabila zaidi na mshindi atakuwa ameshajulikana tayari,huu mchezo hauhitaji hasira mjomba
Unafikiri wasukuma wote hawana akili. Nchi hii wenye akili wengi sana siku hizi ambao hata kama ujinga unawa favor hawawezi kuukubali
 
Na Wa kwanza mnaongoza ni nyie mana kwanza mlitakiwa muwe Kenya ndo mnafanana naona ki tabia. Tuliichukua kilimakyasharo tukawapa ndugu zako bandari ya Mombasa mana hawakuwagana nayo na ndio mkajikuta mko tz so msihofu ni nature yenu
Na haya yakiendelea hv tuombe uzima tutakuja kubaguana sna kwa maeneo na kanda tulizotoka
 
Wanahamisha watoto/ndg zao kwa vimemo kwny vitengo vya maana halafu wakitoka hapo wanawaambia watoto wa masikini serikali haiwezi kuajiri watu wote nyie nendeni mkajiajiri,maana kuna vitambulisho vya wamachinga.

Kipenzi cha wanyonge bana.
Mkuu, hiyo sentensi ya unyanyasaji watoto wa wanyonge, inanitia kichefuchefu na kunipa kiungulia...

Vijana wajiajiri...
Wao wanawaajiri watoto wao..

Everyday is Saturday........................... 😎
 
Kimtokacho mtu ndicho kiujazavyo moyo wake. Mtu analeta post ya ukabila kwa sababu wao ndio wakabila. Sasa watanzania wameshawashitukia wachagga. Hata akimaliza muda wake mkulu atakayekuja atawabana tu maana mlishawanyanyasa sana watanzania.
 
Kimtokacho mtu ndicho kiujazavyo moyo wake. Mtu analeta post ya ukabila kwa sababu wao ndio wakabila. Sasa watanzania wameshawashitukia wachagga. Hata akimaliza muda wake mkulu atakayekuja atawabana tu maana mlishawanyanyasa sana watanzania.
Kwanza hujui kuwa mi mwenyewe Msukuma na natokea Idukilo, Kishapu, Shinyanga. Acha kuwasingizia WaChaga wewe!
 
Kwanza hujui kuwa mi mwenyewe Msukuma na natokea Idukilo, Kishapu, Shinyanga. Acha kuwasingizia WaChaga wewe!
Wachaga ni wakabila sana. Nishawahi enda kuomba dili shirika flani la serikali wakakataa kunipa dili. Ila nikarudi kwenye shirika ilo kwa namna nyingine hapo ndo nilipo baini madudu ya wachaga na kuwaona kwamba ni wabinafsi. Kuna uchafu wa Hali ya juu sana Mana walikuwepo mpaka watu ambao hawana taaluma ya ishu wanayoifanyia kazi.
 
Wakiliongelea hilo tu wategemee kutoambulia kura usukumani ambako ndio kunawapiga kura wengi,Wasukuma watapiga kura kikabila zaidi na mshindi atakuwa ameshajulikana tayari,huu mchezo hauhitaji hasira mjomba
Kumbe wasukuma na nyie ni wakabila kiasi hiki? Bora nchi igawanywe kila mtu mtawala wa jadi apewe nchi yake
 
Kumbe wasukuma na nyie ni wakabila kiasi hiki? Bora nchi igawanywe kila mtu mtawala wa jadi apewe nchi yake
Wakabila sana hao kiongozi! Na hatari yao ndiyo inaanza kujulikana sasa. Unaona walivyoipania Dar - Makonda, Gwajima, Mashinji, Furaha Dominic, n.k
 
Kuna kazi unaweza tu kuzifanya hata kama hukusomea. Mbona wanadai Jesca Magu ni Mwalimu lakini sasa kawa HR?
 
Hayo ni mamabo yako tu, nanai alikwambia rea kuna mishahara mizuri kuliko idara zingine?
Tuonyeshe idara zote na tofauti ya mishahara yao.

Pia ukumbuke kila siku watu wanabadilishwa kutoka nafasi moja kwenda nyingine, kwa hiyo hao wote ni watoto wa magufuri?
Au mtoto wa magufuti hana haki ya kubadilishwa kitengo kwa kuwa baba yake ni Raisi?
Kuna watu kasema amewateuwa wote wanatoka sijui ireje au katavi sikumbuki hivi, je wote mi ndugu wa Magufuli?
Tumieni akiri kabla ya kuleta hapa tabia zenu mlizonazo miyoni mwenu.
 
Wenzangu hivi mkiona mtu anaweka "r" badala ya "l" huwa mnamchukuliaje?
 
Mtatapatapa sana mwaka huu lakini imani ya watz kwa Magu siyo ya kuyumbishwa na siasa maji taka! Uliona Magu kabeba faili la Mwanae na kulihamishia huko unakosema! Au hukusikia alivyomkea brigedia jana kwa kutaka kujenga ofisi Chato...na kumchana palepale kuwa ni kujipendekeza?
Wanaojipendekeza wapo wengi, ila msimamo wa Magu hauyumbishwi, akigundua anachomoa fuzi papo kwa papo. Kama huelewi, nenda kawaulize ndugu zake wa karibu...sio unabwabwaja tu kama teja!
Hata hivyo, huyo Jesca kama kweli alihamishwa, alihamishwa kama mtz, mbona wanaohamishwa vitengo wapo wengi tu? Au kwa kuwa na nasaba na rais hicho ni kigezo cha kutohamishwa kwenda kitengo kingine...hizi akili mbona ni matope saana!?
 
Umenena vema yamkini na mwanae Jesca kama kapelekwa huko REA na wanaojipendekeza yamkini atamng'oa soon!
 
Hawamfikii Magufuli na Wasukuma kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…