Uchaguzi 2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

Ianzie kwenye vyama viangalie, hasa vyama vya upinzani.mfano chadema uchaguzi uliopita mbunge wa Viti maalum alitoka kaskazini hajawahi kuishi mkoa wa ruvuma wakampatikiza eti wa nakapanya tunduru.wakafanya zengwe akaputa toka hapo hajawahi kukanyaga tunduru hata kikao Cha madiwani hajawahi hudhuria .walitoza mania ya wanawake wa mkoa ruvuma waliopigania CHADEMA unaweza umesema kweli lakini Hilo ni tatizo lipo kote
 
Hivi lini utaacha kuandika utumbo. si bora urudi shuleni
 
Umenena vema yamkini na mwanae Jesca kama kapelekwa huko REA na wanaojipendekeza yamkini atamng'oa soon!
Inawezekana ni wakurugenzi wanajipendekeza. Mwaka juzi body ya REA ilivunjwa , vipi waliopata dili Tena. Nahisi ndo Hawa walijipendekeza kwa mkuru.
 
Umenena vema yamkini na mwanae Jesca kama kapelekwa huko REA na wanaojipendekeza yamkini atamng'oa soon!
Inawezekana ni wakurugenzi wanajipendekeza. Mwaka juzi body ya REA ilivunjwa , vipi waliopata dili Tena. Nahisi ndo Hawa walijipendekeza kwa mkuru.
 
Kamaliza Bachelor of Public Administration UDOM-2017
Kamaliza Masters Of Public Administration UDOM-2019.

Alaf unataka asile shavu?
Kuna kazi moja ya REA ilirudiwa Mara kwa mara kutangazwa ilihusu sana wasomi wa hiyo kozi na related. Nahisi kainyaka bila kutumia nguvu
 
Kumbe Ali clear sup zake

Kuna thread humu ya wanafunz wenzake walikuja kulia lia humu kuwa kaenda masters huku akiwa na sups za bachelor. Zote ni tetesi ila taarifa za uhakika kuwa binti ni graduate wa Masters ya Public administration (MPA) hivyo hata kama mimi ningekuwa baba yake aisee lazima ningemuweka kitengo saa 2 asubuhi
 
Ahaaa
 
Na watumishi kutopata hali zao za madaraja,annual increment, malimbikizo wasisahau
 
Magufuli ndio anahamisha wafanyakazi kada ya chini kabisa ?
 
Sio huko tu hadi Kanada wapo wanauza mavi ilimradi wapate Hela. Si Unamjua kule Hela mbele hata kwa kutoa kafara baba
Kama kuna wanunuzi, hiyo ni fursa pia. Wachina wanatumia kurutubisha ardhi na hizo mboga mboga zinauzwa ktk masoko ya kwetu.
 
Wakiliongelea hilo tu wategemee kutoambulia kura usukumani ambako ndio kunawapiga kura wengi,Wasukuma watapiga kura kikabila zaidi na mshindi atakuwa ameshajulikana tayari,huu mchezo hauhitaji hasira mjomba
Tangiapo lake zone ndio Tanzania yenyewe mkuu. Tukiamua kuwa ni nini kinatokea nchini ndicho kinachotokea wala sio mkoa ama kanda nyingine. Tumeshatoa maraisi wawili na kuna kanda hata mmoja raisi hawajatoa tokea. Yaani ukiangalia hata askari,usalama utaifa ndio sie so tukiamu lolote linatokea. Wewe umia na roho ya kujiona una akili kuliko wengine.
Yaani ukianza Tabora,shy,Mza,kagera,Mara ndio Tanzania imekaa hapo hapo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…