Uchaguzi 2020 Membe au Lissu msisahau kuusema uozo wa "undugunaization", tribalism na nepotism wakati wa Kampeni

Kweli kabisa hata kwa kikwete walilalamika hivyo hivyo
 
Na ndiyo maana HDI ya mikoa hiyo ipo chini kuliko ya Msumbiji au miko ya kanda nyingine.
 
Sio kama siwapendi ila nimekwambia tu ukweli
Kama umesema ni sawa ila kama ulisemaga pia enzi zile aika MBE walijazana kule TRA,TPA n.k Uko sawa ila kama umesema kwa kipindi hiki tu mkuu utakuwa Upo biased
 
Kama umesema ni sawa ila kama ulisemaga pia enzi zile aika MBE walijazana kule TRA,TPA n.k Uko sawa ila kama umesema kwa kipindi hiki tu mkuu utakuwa Upo biased
Hao jamaa bado wapo sana na huna cha kufanya walichofanya wameacha kutumia majina za koo zao tu ili boya kama ww usijue. Na walivyo na akili wamekimbilia pia kwenye biashara zote muhimu. Huko hamuwezi kushindana nao. Hadi nakuhurumia maana matamanio yako hayatafanikiwa. Kasome Historia ya Jews Europe walipotengwa na kilichotokea.
 
Mbona umekuja kujifariji ama kujilizaliza huku mtandaoni mkuu. Hata wabadili wameshajulikana hizo njama kitambo ila asili ya MTU haijifichi.

Naona umeguswa umejaa upepo ngoja afande aje akutoe upepo mana umejaa mkuu.
 
Mbona umekuja kujifariji ama kujilizaliza huku mtandaoni mkuu. Hata wabadili wameshajulikana hizo njama kitambo ila asili ya MTU haijifichi.

Naona umeguswa umejaa upepo ngoja afande aje akutoe upepo mana umejaa mkuu.
Utapata tabu sana
 
Kwa hiyo psrs ni geresha tu mkuu? Juzi kuna ndugu yangu katoka kwenye usahili wa tra oral katoka na furaha kweli, kwa hiyo maana yake hapiti?
 
Yaani mlivyo na ukenya mpaka kununua kitu tu dukani kwa chasaka hauingii mpaka Wa nyumbani. Unajua tabia zenu za kikenya angalia wanavyoumia. Na kuitamani tz. Kumbe ukabila hakuondokaga kwenu na mtalia sana mnajiona kuwa nchi haiwezi end a bila nyie. Zama hizo mlisingizia elimu saivi kila pande ya dunia wamesoma mpaka kuna mbwa wamesoma huko bukoba. Sijui saivi kisingizio kimebakia kuwa anapendelea. Ila si ana sifa za kukaa hapo ama? Hata wazee wajipendekeze kwake inajulikana hiyo ni fake zuga wlaa hana time na nyie anachanja mbuga
 
Utapata tabu sana
Bakieni kwenye biashara muhimu ngoja sie kwanza tufaidi elimu yetu mkuu. Ukamuliwe kodi afu niile kiulaini. Saivi ujanja janja Wa kuikwepa hakuna kukwepa. Lazima ulipe kodi wanaume wale. Wewe pambana bwashee ulipe kodi ilivyostahiki afu katambi alipwe mshaara
 
Akili ya kimasikini. Kwani wao hawatasoma?
 
Akili ya kimasikini. Kwani wao hawatasoma?
Nimefuatilia nyuzi zako nimegundua kuwa wewe ni mkenya sema tu unaishi tz mkuu ila ki tabia za kibaguzi pia wewe ni ostaazi so siwezi kujibizana nawewe. Na una chuki zako binafsi na makabila yaliyoko Tanzania. Yaani hauna tofauti ya mkikuyu anayejiona ndiye anayesyahili kutawala kuliko mluo.
Endelea pia hata uongozi uliopo hauupendi ma sio lazima uuepende as still life goes on nothing to worry.
 
Daah!
 
Wewe hujioni? Idiot
 
Wakabila sana hao kiongozi! Na hatari yao ndiyo inaanza kujulikana sasa. Unaona walivyoipania Dar - Makonda, Gwajima, Mashinji, Furaha Dominic, n.k
Kwani huyo ndugulile ni kabila gani unadhani? Wasukuma ni wengi mno mjomba,huu mchezo hauhitaji hasira tunawaangalia tu tunasema hiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…