Membe membe usiwakatalie watumishi wa mungu kitachokupata hiyo ni kwa faida yako hunijui wala sikujui mimi nakuona tu kwenye tv
Watumishi wale wako pamoja na Musiba?
Mbona Musiba alipokosea hwakumuonya?
Mbona hawakukemea Mwenndo wake wakati wa Kesi kabla kuisha?
Ushauri wangu.
Bw.Membe wacha HUKUMU kufuata mkondo wake ,Afilisiwe fedhuli yule li wengine wajifunze kwa kupitia yeye na itakuwa Faida kubwa sana Kwa taifa na Dunia kwa Ujumla.
Utamsamehe baada ya kutekelezwa hukumu ukitaka.
Shetani alipomkosea Mungu Hakuomba msamaha hadi dakika ya Mwisho Mungu anamuuliza Kwanini hukutii Amri?
Unajua alivyojibu? Alisema ''Mimi ni Mtukufu na Bora zaidi kuliko Adamu kwa kuwa yeye kaumbwa kwa Udongo na Mimi nimeumbwa kwa Moto''
Mungu akamlaani.
bab yetu Adam alipoulizwa kwa nini umepinga amri yangu? Unajua alivyojibu?
''Alisema '' Bwana wetu Mimi na Mke wangu tumekosea na kuzidhulumu nafsi zetu kwa kuvunja Amri yako, basi tusamehe, kwani usipotusamehe tukuwa wenye kuangamia''
Mungu akasema ''Nimewasamehe'',
''lakini sasa Haiwafalii tena nyinyi kuishi humu Peponi, bal Mutashuka Duniani ,huko
Mutaishi kwa taabu na
Mutakufa, na Kisha
Mutafufuliwa siku ya Kiama ili kupimwa matendo yenu, atakayefaulu atarejea
Humu peponi na a
takaye feli ataingia Jahannam''
NB
Pamoja na kusamehewa kwake Adamu lakini Adhabu ya Dhambi haikuondoka, nayo ni kushuka duniani na kuishi kwa jasho lake na kufa na halafu kuhesabiwa matendo yake.
Mwacheni Musiba afaidi malipo ya matendo yake.