Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 1,271
- 1,604
Watanzania wengi sana wanaishi maisha magumu kutokana na Serikali ya CCMSimtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Kwenye ubobezi nakataa, mbobezi gani anadukuliwa mawasiliano ya simu kirahisi rahisi.Huyo ana pesa za kuishi nje ya nchi maisha yake yote yaliyobaki duniani kwa starehe na chenji ikabaki, hao walishapiga pesa kipindi cha Mkwere halafu pia ni mtu wa idarani huyo anajua kila kitu kinachopangwa na kinachoendelea kila siku Magogoni na chamwino anajua hadi sasa hivi baba jeska anapiga mvinyo au kapiga chafya ndio maana akaitwa mbobezi system yote anaijua....NB: Usimuamini sana mwanasiasa hizi zote ni kutaka kuichanganya upinzani na kuwaondoa kwenye tension ya uchaguzi ili magu apate mserereko na wenyewe wakiicheza hii singeli ya membe wameenda na maji.
Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Alisikika kada fulani huko lumumba baada ya kushiba buku saba!JF ya leo hii huu nao uzi.
Endelea kuota! Ni wa CDMSisi tunachojua Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
Sio fala kiivyo kama unavyodhani!Simtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Wewe ni nani unatishia watu hapa? Au ndio wale vijana wa chattle wanaotesa na kuua watu kwa kutumwa? Mnajulikana wote na ni suala la muda tu kabla hamjaanza kukimbia nchi.Namaanisha ndugu Membe ataishi maisha magumu sana baada ya uchaguzi mkuu wa hapo Oktoba mapema mwaka huu.
Wewe ni kama waitara, ungesimama mahali pa mbowe saa hizi ushakimbia nchiSimtishi Membe bali ni kumjulisha kuwa baada ya zoezi la uchaguzi mkuu hapo Oktoba mwaka huu kwa hakika satoshi magumu mno!
Kama wasemavyo wao kwamba MWENYE KULITAFUTA NA HULIPATA.
Ni hayo tu.
Mmmmm mmmm yaani siasa zina utani kiasi hikiMembe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
Mabilioni ya watanzania Libya!!? We mwanamke wewe acha hizo basiYule ni bilionea alikwiba mabilion ya Watanzania kule libya
Ndio maana
User name yako ina maana gani?...ataishi maisha magumu mno!
Yupo heatMabilioni ya watanzania Libya!!? We mwanamke wewe acha hizo basi