Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Mambo mengine hata kuyajadili unashindwa. Hivi huyu membe kwenye chama chao leo, pamoja na Magufuli kutoungwa mkono na baadhi ya wakongwe, anaweza kuwa hata na robo ya nguvu aliyokuwa nayo lowasa kuelekea 2015?!
Alishindwa kufurukuta akiwa kabebwa na mwenyekiti Kikwete, leo atapenya wapi chini ya uenyekiti wa huyo anayetaka kupambana naye? He is overrated. Labda akajaribu ACT kama inavyosemwasemwa.
Alimalizwa na timu EL
Sasa hivi timu EL imekaa inaangalia gemu linavyoenda.
Hata huyo unayedhani ana nguvu leo "alisaidiwa" na huyohuyo mwenyekiti JK kwenye mkutano mkuu otherwise Amina Salum Ali ndiye angepambana na EL kwenye kinyang'anyiro cha 2015