Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

Kuna la ajabu hapo mpaka usiamini, huoni juzi kakiri kuwa sauti iliyodukuliwa ni ya kwake? Kama ameweza kukiri yale atashindwa kuzungumza hayo? Ukweli ni kuwa kuna wanaccm wengi hawaridhishwi na namna Magufuli anavyoongoza chama chao na nchi kwa pamoja kwani kajigeuza kuwa mkubwa kuliko chama na nchi. Sasa huyo Membe anachofanya ni kumuonyesha kwamba yeye sio mkubwa kuliko chama au nchi, hivyo yuko tayari kupambana naye ili kumuonyesha hana madaraka zaidi ya hayo anayopaswa kuwa nayo.

Mimi ninaamini Membe hawezi kuwa rais mzuri, lakini huyu wa sasa sio mzuri pia. Na pia tulishatoka kwenye kuongozwa kwa vitisho na kusujudia viongozi. Sasa hivi tunataka kiongozi anayeheshimu wananchi sio anayeogopwa na wananchi kisa anapandikiza hofu. Kama ni maendeleo tungeweza kuyapata hata chini ya wakoloni, lakini uhuru wetu ulikuwa na maana kuliko maendeleo ya wakoloni.
Aisee umeandika point njema sana ,
Mungu akubariki
 
Huyu mzee nahisi uzee unamjia vibaya enzi zile akijiita BM pale wizarani naibu waziri alishakuwa km waziri Kwani membe alikuwa bize kupaa angani ilikuwa ni dhambi kuuliza kwanini anasafiri hovyo bila tija huyu alimfanya hadi mzee kikwete kushinda angani kwa kumuandalia safari zisizo na kichwa wala miguu

Kiufupi katika miaka yake nane ya waziri wa kidplomasia alishinda miaka mine nje ya nchi ni Kama Yule Rais wa Cameroon anayeishi uswisi uku yeye ni Rais wa Cameroon

Huyu fisadi na dhulumati eti anaota kugombea Urais hivi watanzania sisi ni mapoyoyo sana kwamba tunawahi kusahau?

Huyu muhuni membe sema Magufuli anamdekeza sana alitakiwa awe nyuma ya bar Kwa kuifilisi nchi kwa mikataba ya kimangungo

Magufuli kama sio kumtunzia heshima mzee kikwete Huyu fisadi alitakiwa awe chumba kimoja na kina rugamarila na kina seth

Mzee membe kama umeshindwa kulea wajukuu gombea hata Ubunge uone wazalendo tutakavyokukata kwenye boks
 
Kwa sasa hakuna wa kumshinda JPM. Hata aje mtu gani ndani ya CCM, Chama gani nje ya CCM.
 
Ashinde yeye,asishinde ila moto atakua ameupata na aameungua mpaka matak0!

Atakua ametambua demokrasia ni demokrasia na wananchi ndio maboss wa everything!
Pale utakapoona mpinzani wa mtu anakuwa campaign manager ndio utasema shikamoo siasa za bongo.
 
Habari njema sana hii kwetu wapenda haki na demokrasia. Lazima tumchague mpenda haki mwenzetu. 2020 tunaenda na Benard Membe [emoji120][emoji120][emoji120].
 
Chawa ukimkuta kichwani mwa mtu mchafu usiulize kawekwa na nani!
 
Huyu mzee nahisi uzee unamjia vibaya enzi zile akijiita BM pale wizarani naibu waziri alishakuwa km waziri Kwani membe alikuwa bize kupaa angani ilikuwa ni dhambi kuuliza kwanini anasafiri hovyo bila tija huyu alimfanya hadi mzee kikwete kushinda angani kwa kumuandalia safari zisizo na kichwa wala miguu

Kiufupi katika miaka yake nane ya waziri wa kidplomasia alishinda miaka mine nje ya nchi ni Kama Yule Rais wa Cameroon anayeishi uswisi uku yeye ni Rais wa Cameroon

Huyu fisadi na dhulumati eti anaota kugombea Urais hivi watanzania sisi ni mapoyoyo sana kwamba tunawahi kusahau?

Huyu muhuni membe sema Magufuli anamdekeza sana alitakiwa awe nyuma ya bar Kwa kuifilisi nchi kwa mikataba ya kimangungo

Magufuli kama sio kumtunzia heshima mzee kikwete Huyu fisadi alitakiwa awe chumba kimoja na kina rugamarila na kina seth

Mzee membe kama umeshindwa kulea wajukuu gombea hata Ubunge uone wazalendo tutakavyokukata kwenye boks
Nilimudhalau sana bwana huyu njisi alivyoshugulikia swala la radar baada ya kugundulika wanunuzia waliweka cha juu ili wapate kipozeo.
 
Ninaomba source inayoeleweka mkuu
Lasivoo huu ni uzushi kama ulivo uzushi mwingine tu.
 
ila comrade Membe ana personality ya urais kabisa,,sema tumbo ndo linanifanya nimpinge hapa,lakini kwenye balot box ntakuwa peke yangu mimi na karatasi you never know.......

Siyo personality tu kichwani zinachaji vizuri sana, nasikia huyu jamaa alipiga First class kule mlimani enzi hizooo, shule shule kweli
 
Huyu mzee nahisi uzee unamjia vibaya enzi zile akijiita BM pale wizarani naibu waziri alishakuwa km waziri Kwani membe alikuwa bize kupaa angani ilikuwa ni dhambi kuuliza kwanini anasafiri hovyo bila tija huyu alimfanya hadi mzee kikwete kushinda angani kwa kumuandalia safari zisizo na kichwa wala miguu

Kiufupi katika miaka yake nane ya waziri wa kidplomasia alishinda miaka mine nje ya nchi ni Kama Yule Rais wa Cameroon anayeishi uswisi uku yeye ni Rais wa Cameroon

Huyu fisadi na dhulumati eti anaota kugombea Urais hivi watanzania sisi ni mapoyoyo sana kwamba tunawahi kusahau?

Huyu muhuni membe sema Magufuli anamdekeza sana alitakiwa awe nyuma ya bar Kwa kuifilisi nchi kwa mikataba ya kimangungo

Magufuli kama sio kumtunzia heshima mzee kikwete Huyu fisadi alitakiwa awe chumba kimoja na kina rugamarila na kina seth

Mzee membe kama umeshindwa kulea wajukuu gombea hata Ubunge uone wazalendo tutakavyokukata kwenye boks
Mikataba ya sasa umeiona?
Unajua usafi au uchafu wake?
 
Nani atampitisha kamati kuu chini ya mwenyekiti?
Mambo mengine hata kuyajadili unashindwa. Hivi huyu membe kwenye chama chao leo, pamoja na Magufuli kutoungwa mkono na baadhi ya wakongwe, anaweza kuwa hata na robo ya nguvu aliyokuwa nayo lowasa kuelekea 2015?!

Alishindwa kufurukuta akiwa kabebwa na mwenyekiti Kikwete, leo atapenya wapi chini ya uenyekiti wa huyo anayetaka kupambana naye? He is overrated. Labda akajaribu ACT kama inavyosemwasemwa.
 
Back
Top Bottom