Nnangale
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 2,664
- 1,379
Kwa katiba ipi?huu ni uhaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa katiba ipi?huu ni uhaini
Mungufuli ni jiwe na jiwe haliwezi kuwa mkate mimi nitaomba awe mwehu aanze kulopoka maovu yote aliyotenda.Membe kuwa Rais!! Hapana kwa kweli. Heri ya Magufuli wetu. Tumwombee Magu,aache hofu ajiamini;awe na hekima na busara,aache kiburi.
Tulia mkuu 2020 utamuona Membe akimpigia Magufuli kampeni.Kuna la ajabu hapo mpaka usiamini, huoni juzi kakiri kuwa sauti iliyodukuliwa ni ya kwake? Kama ameweza kukiri yale atashindwa kuzungumza hayo? Ukweli ni kuwa kuna wanaccm wengi hawaridhishwi na namna Magufuli anavyoongoza chama chao na nchi kwa pamoja kwani kajigeuza kuwa mkubwa kuliko chama na nchi. Sasa huyo Membe anachofanya ni kumuonyesha kwamba yeye sio mkubwa kuliko chama au nchi, hivyo yuko tayari kupambana naye ili kumuonyesha hana madaraka zaidi ya hayo anayopaswa kuwa nayo.
Mimi ninaamini Membe hawezi kuwa rais mzuri, lakini huyu wa sasa sio mzuri pia. Na pia tulishatoka kwenye kuongozwa kwa vitisho na kusujudia viongozi. Sasa hivi tunataka kiongozi anayeheshimu wananchi sio anayeogopwa na wananchi kisa anapandikiza hofu. Kama ni maendeleo tungeweza kuyapata hata chini ya wakoloni, lakini uhuru wetu ulikuwa na maana kuliko maendeleo ya wakoloni.
Na pia tulishatoka kwenye kuongozwa kwa vitisho na kusujudia viongozi.
Membe
Tulia mkuu 2020 utamuona Membe akimpigia Magufuli kampeni.
Kuna la ajabu hapo mpaka usiamini, huoni juzi kakiri kuwa sauti iliyodukuliwa ni ya kwake? Kama ameweza kukiri yale atashindwa kuzungumza hayo? Ukweli ni kuwa kuna wanaccm wengi hawaridhishwi na namna Magufuli anavyoongoza chama chao na nchi kwa pamoja kwani kajigeuza kuwa mkubwa kuliko chama na nchi. Sasa huyo Membe anachofanya ni kumuonyesha kwamba yeye sio mkubwa kuliko chama au nchi, hivyo yuko tayari kupambana naye ili kumuonyesha hana madaraka zaidi ya hayo anayopaswa kuwa nayo.
Mimi ninaamini Membe hawezi kuwa rais mzuri, lakini huyu wa sasa sio mzuri pia. Na pia tulishatoka kwenye kuongozwa kwa vitisho na kusujudia viongozi. Sasa hivi tunataka kiongozi anayeheshimu wananchi sio anayeogopwa na wananchi kisa anapandikiza hofu. Kama ni maendeleo tungeweza kuyapata hata chini ya wakoloni, lakini uhuru wetu ulikuwa na maana kuliko maendeleo ya wakoloni.
Kwani Magufuli ana sifa ????????Ninachokiona ni Membe kupewa sifa ambazo hana. Hata hivyo sishangai kwa sababu wapinzani wa Rais Magufuli wana ombwe la mtu ambaye atapambana naye katika kiti cha Urais.
Kinachofanyika kwa sasa ni kumshabikia mtu yeyote anayesema au kuonekana atapambana na Rais Magufuli hata kama hana sifa ili tu kujaza ombwe.
na huo utakuwa ndio mwanzo wa tufani....jiwe halipendagi ushindani
Anaweza kuwekwa kizuizini huyu
Bila kuwasahau wanaoforce kubaki ikulu.Tuwachunguze sana hawa wanaoforce kuingia ikulu
Inavyoonekana hata EL alitarajiwa kustaafia opposition lakini ile mialiko kutoka jumba jeupe imemrudisha alikotoka...Kwanza anatakiwa kuchukuliwa hatua na Chama chake baadae ile sauti yake iliyodukuliwa kusambaa. Hii ya kugombea anasema ili wakimfukuza apate agenda ya kisiasa eti baada ya kuonesha nia ya kugombea urais 2020 ndo amefukuzwa chamani.
Membe anatakiwa kufukuzwa fasta CCM ili akastaafie siasa akiwa opposition.
kwahiyo mimi nikisema nagombea jimbo la mtama 2020 kushindana na mbunge wa sasa ni uhaini huo?huu ni uhaini
Hawezi kuacha kibri. Atajuta kujaribu kuua upinzani. Hakujua maneno ya baba wa taifa kuwa upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM?Membe kuwa Rais!! Hapana kwa kweli. Heri ya Magufuli wetu. Tumwombee Magu,aache hofu ajiamini;awe na hekima na busara,aache kiburi.
Huo ni uhaini dhidi ya mbunge halali wa jimbo hilo anayeishi na kulitawala jimbo mpaka atakaporuhusu mtu mwingine agombee.kwahiyo mimi nikisema nagombea jimbo la mtama 2020 kushindana na mbunge wa sasa ni uhaini huo?