Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda


Alimalizwa na timu EL
Sasa hivi timu EL imekaa inaangalia gemu linavyoenda.
Hata huyo unayedhani ana nguvu leo "alisaidiwa" na huyohuyo mwenyekiti JK kwenye mkutano mkuu otherwise Amina Salum Ali ndiye angepambana na EL kwenye kinyang'anyiro cha 2015
 
Alimalizwa na timu EL
Sasa hivi timu EL imekaa inaangalia gemu linavyoenda.
Hata huyo unayedhani ana nguvu leo "alisaidiwa" na huyohuyo mwenyekiti JK kwenye mkutano mkuu otherwise Amina Salum Ali ndiye angepambana na EL kwenye kinyang'anyiro cha 2015
Hiyo timu ishasambaratika kitambo, hakuna mwanachama wa CCM atayeweza kumzuia Magufuli kugombea tena 2020. Huo ndio ukweli.
 
Jaman Mbona mnapenda sana Kumnyima Raha Kiongozi wa Malaika ?
 
Sina uhakika na chanzo kwa hiyo sina comment hapa
 
Safi sana lakini binafsi siamini uwezo wa membe kuwa Raisi
 
Mpaka kufikia hatua hii naona kama anajiamini sana. Mm badala ya kumdharau ningejiuliza hivi huyu ana sapoti ya nani na nani wenye ushawishi kiasi kwamba wanaamini wanaweza mshawishi mwenyekiti ambaye ni raisi akubali kumpisha?
 
Naiona CCM iliyopasuka.
Kikwete alikuwepo Dar ila hakukaribishwa kwenye ufunguzi wa Uwanja.
Jina lake lilitajwa kama aliyetoa wazo na si mwanzilishi wa ujenzi.
Kikwete akawa kaenda zake kuhani msiba kwao Mbowe
Upo sawa mkuu daraja la kigamboni hivyo hivyo sasa na uwanja duu!!
 
Unajua kwamba 2010 kulikua na kura za maoni ndani ya chama? Rais alipigiwa kura
 
Kumekucha ! Nyuma ya Membe kuna kundi zito mno !
 
Tuwachunguze sana hawa wanaoforce kuingia ikulu
 
Nnachojua huyu jamaa yatamkuta yaliyomkuta Lowassa, ngoja tuone na bahati nzuri hata yeye analitambua hilo
CCM chama cha mapinduzi unafiki utawasumbua sana kwani mbona kwenye awamu ya NNE Shibuda alitangaza nia kugombea tena Mara mbili mlimfukuza???
 
Jamani wakati wa Kikwete si mlitaka rais dikteta? Hivi nyie watu mnataka nini hasa
Hili neno limetafsiliwa vibaya sana na wapambe wa jiwe ni upotoshaji wa kijinga sana angekuwa dikteta kwa mambo ya msingi kitaifa mfano ufisadi,rushwa,madawa ya kulevya na sio kuthibiti Uhuru wa kujieleza kuingilia Uhuru wa bunge,kujiamulia mwenyewe matumizi ya fedha za nchi,mauwaji ya watu kwenye viroba bila uchunguzi wowote,Lissu kupigwa risasi bila uchunguzi wowote sidhani kama kuna mtanzania alihitaji dikteta wa aina hiyo.
 
Ili kuzima mambo ya sauti ndo kaamua kujiyokeza sasa watahangaika na swala la kuwania urais
 
Waanze kwanza kuwachukulia hatua wadukuzi. Walichofanya ni sawa na kupiga picha za ngono chumbani kwa mtu bila taarifa yake na kuzisambaza hadharani ili kumdhalilisha mhusika.
 
URAIA SASA UTAHOJIWA NA UHAMIAJI PA1 NA MAMBONOW
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…