Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
unaropoka tu
Kwanza anatakiwa kuchukuliwa hatua na Chama chake baadae ile sauti yake iliyodukuliwa kusambaa. Hii ya kugombea anasema ili wakimfukuza apate agenda ya kisiasa eti baada ya kuonesha nia ya kugombea urais 2020 ndo amefukuzwa chamani.
Membe anatakiwa kufukuzwa fasta CCM ili akastaafie siasa akiwa opposition.
Watu wengi wameharibikiwa kwa sababu ya ushauri mbovu toka kwa marafiki.
Marafiki wa Membe wanamshauri agembee Urais kwa maslahi Binafsi.
Utaratibu wa CCM ni kumruhusu Rais aliyeko madarakani kumaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka 10 endapo hajavunja Katiba ya Inchi/Chama, wala kukiuka ilani, imani na kanuni za chama katika awamu ya miaka 5 ya kwanza.
Lengo kuu ni kulinda Amani ya Inchi bila kuleta ushindani usio na tija.
Membe bado ana nguvu na miaka mitano ijayo atakuwa anafaa zaidi kugombea Urais .
Njia rahisi na fupi zaidi ya Membe kuupata urais 2020 ni kuwa karibu na Mh. Makufuli na sio marafiki zake ambao wanataka kuiuza Inchi kwa Mlo wa Siku moja.
Neno la Mungu linasema "ole wao".
Lazima tukiri. Katika Mawaziri waliopita katika awamu ya tatu na nne, hakuna Waziri aliyetukuka katika katika utendaji kazi kama Mh. Makufuli.
Katika Marais waliopita ukiacha Hayati Mwalimu Nyerere, hakuna aliyepigania maslahi ya Inchi kama Makufuli.
Kama tunaipenda Inchi yetu na hatuendekezi mambo ya urafiki , maslahi binafsi na chuki binafsi tumwache Mh . Makufuli amalize kipindi chache cha kikatiba.
Hata kama tutakuwa tunampenda na tunamhitaji, ni usaliti na kuivuruga Inchi kwa kubadilisha katiba ili aendelee miaka zaidi ya 10.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema " Kama unarafiki, kanywe nae chai na si kutaka kumpeleka Ikulu"
Inasikitisha kuiongelea katiba ambayo huijui! Si katiba ya Jamhuli ya muungano wa Tanzania wala katiba ya CCM inayoongelea huo muda ulioutaja. Its all about facts; Ainisha hivyo vifungu vinavyoongelea urais ndani ya chama ni miaka 10. PatheticWatu wengi wameharibikiwa kwa sababu ya ushauri mbovu toka kwa marafiki.
Marafiki wa Membe wanamshauri agembee Urais kwa maslahi Binafsi.
Utaratibu wa CCM ni kumruhusu Rais aliyeko madarakani kumaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka 10 endapo hajavunja Katiba ya Inchi/Chama, wala kukiuka ilani, imani na kanuni za chama katika awamu ya miaka 5 ya kwanza.
Lengo kuu ni kulinda Amani ya Inchi bila kuleta ushindani usio na tija.
Membe bado ana nguvu na miaka mitano ijayo atakuwa anafaa zaidi kugombea Urais .
Njia rahisi na fupi zaidi ya Membe kuupata urais 2020 ni kuwa karibu na Mh. Makufuli na sio marafiki zake ambao wanataka kuiuza Inchi kwa Mlo wa Siku moja.
Neno la Mungu linasema "ole wao".
Lazima tukiri. Katika Mawaziri waliopita katika awamu ya tatu na nne, hakuna Waziri aliyetukuka katika katika utendaji kazi kama Mh. Makufuli.
Katika Marais waliopita ukiacha Hayati Mwalimu Nyerere, hakuna aliyepigania maslahi ya Inchi kama Makufuli.
Kama tunaipenda Inchi yetu na hatuendekezi mambo ya urafiki , maslahi binafsi na chuki binafsi tumwache Mh . Makufuli amalize kipindi chache cha kikatiba.
Hata kama tutakuwa tunampenda na tunamhitaji, ni usaliti na kuivuruga Inchi kwa kubadilisha katiba ili aendelee miaka zaidi ya 10.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema " Kama unarafiki, kanywe nae chai na si kutaka kumpeleka Ikulu"
Ni katiba ya nchi gani inasema urais ni miaka 10 hata ya Uganda inataja miaka 7.Watu wengi wameharibikiwa kwa sababu ya ushauri mbovu toka kwa marafiki.
Marafiki wa Membe wanamshauri agembee Urais kwa maslahi Binafsi.
Utaratibu wa CCM ni kumruhusu Rais aliyeko madarakani kumaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka 10 endapo hajavunja Katiba ya Inchi/Chama, wala kukiuka ilani, imani na kanuni za chama katika awamu ya miaka 5 ya kwanza.
Lengo kuu ni kulinda Amani ya Inchi bila kuleta ushindani usio na tija.
Membe bado ana nguvu na miaka mitano ijayo atakuwa anafaa zaidi kugombea Urais .
Njia rahisi na fupi zaidi ya Membe kuupata urais 2020 ni kuwa karibu na Mh. Makufuli na sio marafiki zake ambao wanataka kuiuza Inchi kwa Mlo wa Siku moja.
Neno la Mungu linasema "ole wao".
Lazima tukiri. Katika Mawaziri waliopita katika awamu ya tatu na nne, hakuna Waziri aliyetukuka katika katika utendaji kazi kama Mh. Makufuli.
Katika Marais waliopita ukiacha Hayati Mwalimu Nyerere, hakuna aliyepigania maslahi ya Inchi kama Makufuli.
Kama tunaipenda Inchi yetu na hatuendekezi mambo ya urafiki , maslahi binafsi na chuki binafsi tumwache Mh . Makufuli amalize kipindi chache cha kikatiba.
Hata kama tutakuwa tunampenda na tunamhitaji, ni usaliti na kuivuruga Inchi kwa kubadilisha katiba ili aendelee miaka zaidi ya 10.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema " Kama unarafiki, kanywe nae chai na si kutaka kumpeleka Ikulu"
Mbona mililalamika kwamba waliopita hawakufanya chochote? Na kwamba chama cha kijani hakifai na ni majizi ? Huyu Membe ni wa chama gani ? Au ataenda chama red blue akasafishike ndipo arudi kijani ? Hebu elewekeni basiiii !!!!! Kwani yule wa Belgium vipi tena ? Mnajichanganya sana ! Mpaka sasa hivi hajulikani nani atasimama upande mbadala, don't tell me that when this former top diplomat is rejected he will cross floor and stand for the opposition flag 😳 ! Upinzani nchi hii bado sana ! Tena sanaaa! Wamejaa activists watupu! Mshaurini vizuri bwana Membe !Miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi na sio hisani au mshahara wa rais. Hivyo miundombinu itajengwa na yoyote hata kama nchi itakuwa haina rais kwani mipango ya nchi ipo tayari.
Kugombea urais ni uhaini?
Mbona mililalamika kwamba waliopita hawakufanya chochote? Na kwamba chama cha kijani hakifai na ni majizi ? Huyu Membe ni wa chama gani ? Au ataenda chama red blue akasafishike ndipo arudi kijani ? Hebu elewekeni basiiii !!!!! Kwani yule wa Belgium vipi tena ? Mnajichanganya sana ! Mpaka sasa hivi hajulikani nani atasimama upande mbadala, don't tell me that when this former top diplomat is rejected he will cross floor and stand for the opposition flag 😳 ! Upinzani nchi hii bado sana ! Tena sanaaa! Wamejaa activists watupu! Mshaurini vizuri bwana Membe !
Mwenzako kasema miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi, wewe umechanganya vitu vingi pasipo mpangilio be specific unataka nini ujibiwe.Mbona mililalamika kwamba waliopita hawakufanya chochote? Na kwamba chama cha kijani hakifai na ni majizi ? Huyu Membe ni wa chama gani ? Au ataenda chama red blue akasafishike ndipo arudi kijani ? Hebu elewekeni basiiii !!!!! Kwani yule wa Belgium vipi tena ? Mnajichanganya sana ! Mpaka sasa hivi hajulikani nani atasimama upande mbadala, don't tell me that when this former top diplomat is rejected he will cross floor and stand for the opposition flag 😳 ! Upinzani nchi hii bado sana ! Tena sanaaa! Wamejaa activists watupu! Mshaurini vizuri bwana Membe !
Makamanda hawana msimamo kabisaaa.Makamanda mbona mnamsahau Lissu?