Uchaguzi 2020 Membe: Kuhusu suala la urais hilo halina mjadala, nitajitosa na nitashinda

unaropoka tu
Kwanza anatakiwa kuchukuliwa hatua na Chama chake baadae ile sauti yake iliyodukuliwa kusambaa. Hii ya kugombea anasema ili wakimfukuza apate agenda ya kisiasa eti baada ya kuonesha nia ya kugombea urais 2020 ndo amefukuzwa chamani.

Membe anatakiwa kufukuzwa fasta CCM ili akastaafie siasa akiwa opposition.
 
Watu wengi wameharibikiwa kwa sababu ya ushauri mbovu toka kwa marafiki.
Marafiki wa Membe wanamshauri agembee Urais kwa maslahi Binafsi.
Utaratibu wa CCM ni kumruhusu Rais aliyeko madarakani kumaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka 10 endapo hajavunja Katiba ya Inchi/Chama, wala kukiuka ilani, imani na kanuni za chama katika awamu ya miaka 5 ya kwanza.
Lengo kuu ni kulinda Amani ya Inchi bila kuleta ushindani usio na tija.
Membe bado ana nguvu na miaka mitano ijayo atakuwa anafaa zaidi kugombea Urais .
Njia rahisi na fupi zaidi ya Membe kuupata urais 2020 ni kuwa karibu na Mh. Makufuli na sio marafiki zake ambao wanataka kuiuza Inchi kwa Mlo wa Siku moja.
Neno la Mungu linasema "ole wao".
Lazima tukiri. Katika Mawaziri waliopita katika awamu ya tatu na nne, hakuna Waziri aliyetukuka katika katika utendaji kazi kama Mh. Makufuli.
Katika Marais waliopita ukiacha Hayati Mwalimu Nyerere, hakuna aliyepigania maslahi ya Inchi kama Makufuli.
Kama tunaipenda Inchi yetu na hatuendekezi mambo ya urafiki , maslahi binafsi na chuki binafsi tumwache Mh . Makufuli amalize kipindi chache cha kikatiba.
Hata kama tutakuwa tunampenda na tunamhitaji, ni usaliti na kuivuruga Inchi kwa kubadilisha katiba ili aendelee miaka zaidi ya 10.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema " Kama unarafiki, kanywe nae chai na si kutaka kumpeleka Ikulu"
 
Kugombea Uraisi kwa miaka 10 mfulilizo ndani ya CCM yalikuwa ni "Mazoea" siyo "Utaratibu", unapozungumzia utaratibu unamaanisha kanuni na katiba ya chama. So far katiba ya chama inatoa haki kwa mtu yeyote kugombea kwa hiyo kama akitokea mtu akataka kuomba ridhaa ya kugombea urais kupitia CCM ana haki ya kufanya hivyo.

Kama Magufuli anaamini anapendwa na amefanya kazi nzuri, hofu ya nini si akubali ushindani tu ndani ya chama kwani tatizo nini?
 
Naona jukwaa linakupamba kama lilivyompamba Lowassa.
Nakuonea huruma sana ,anyway gawa ulizopora kwa vijana wasio na means nyingine ya kujipatia riziki tofauti na unaa.

Utapambwa ,utaliwa,utaishia kupata pressure na kisukari.ukiachwa bunkrupcy.

Yote ni tamaa yako na uvivu wa kufikiri.

Kama huamini maneno yangu ,soma makala kuhusu Lowassa kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi ya Tanzania hajawaihi shindwa ,ni mpaka muda wake utakapokamilika,10yrs.

Acha wakurembe ili wakule .

Wangekua wanakutakia mema wangepambana kudai tume huru na katiba ya warioba ,kwa muundo huu shauri yako
 
Acha woga, na vitisho ! Membe hajavunja sheria yoyote!Naona unafikiri kwa kutumia tumbo badala ya kichwa.
 
Membe anawachanganya sana wafuasi wa jiwe na chama.
 
Asie taka funzwa na wazazi wake acha dunia imfunze ,kila jambo duniani lina makusudi yake
 
Muacheni jamani apate hasara, hela zake, muda wake, mwili wake, katiba inamruhusu muacheni agombee vinginevyo tume ya uchaguzi itangaze labda hakuna uchaguzi na Rais wetu mpendwa JPM aendelee..
 
Watu wengi wameharibikiwa kwa sababu ya ushauri mbovu toka kwa marafiki.
Marafiki wa Membe wanamshauri agembee Urais kwa maslahi Binafsi.
Utaratibu wa CCM ni kumruhusu Rais aliyeko madarakani kumaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka 10 endapo hajavunja Katiba ya Inchi/Chama, wala kukiuka ilani, imani na kanuni za chama katika awamu ya miaka 5 ya kwanza.
Lengo kuu ni kulinda Amani ya Inchi bila kuleta ushindani usio na tija.
Membe bado ana nguvu na miaka mitano ijayo atakuwa anafaa zaidi kugombea Urais .
Njia rahisi na fupi zaidi ya Membe kuupata urais 2020 ni kuwa karibu na Mh. Makufuli na sio marafiki zake ambao wanataka kuiuza Inchi kwa Mlo wa Siku moja.
Neno la Mungu linasema "ole wao".
Lazima tukiri. Katika Mawaziri waliopita katika awamu ya tatu na nne, hakuna Waziri aliyetukuka katika katika utendaji kazi kama Mh. Makufuli.
Katika Marais waliopita ukiacha Hayati Mwalimu Nyerere, hakuna aliyepigania maslahi ya Inchi kama Makufuli.
Kama tunaipenda Inchi yetu na hatuendekezi mambo ya urafiki , maslahi binafsi na chuki binafsi tumwache Mh . Makufuli amalize kipindi chache cha kikatiba.
Hata kama tutakuwa tunampenda na tunamhitaji, ni usaliti na kuivuruga Inchi kwa kubadilisha katiba ili aendelee miaka zaidi ya 10.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema " Kama unarafiki, kanywe nae chai na si kutaka kumpeleka Ikulu"
Inasikitisha kuiongelea katiba ambayo huijui! Si katiba ya Jamhuli ya muungano wa Tanzania wala katiba ya CCM inayoongelea huo muda ulioutaja. Its all about facts; Ainisha hivyo vifungu vinavyoongelea urais ndani ya chama ni miaka 10. Pathetic
 
Watu wengi wameharibikiwa kwa sababu ya ushauri mbovu toka kwa marafiki.
Marafiki wa Membe wanamshauri agembee Urais kwa maslahi Binafsi.
Utaratibu wa CCM ni kumruhusu Rais aliyeko madarakani kumaliza muhula wake wa kikatiba wa miaka 10 endapo hajavunja Katiba ya Inchi/Chama, wala kukiuka ilani, imani na kanuni za chama katika awamu ya miaka 5 ya kwanza.
Lengo kuu ni kulinda Amani ya Inchi bila kuleta ushindani usio na tija.
Membe bado ana nguvu na miaka mitano ijayo atakuwa anafaa zaidi kugombea Urais .
Njia rahisi na fupi zaidi ya Membe kuupata urais 2020 ni kuwa karibu na Mh. Makufuli na sio marafiki zake ambao wanataka kuiuza Inchi kwa Mlo wa Siku moja.
Neno la Mungu linasema "ole wao".
Lazima tukiri. Katika Mawaziri waliopita katika awamu ya tatu na nne, hakuna Waziri aliyetukuka katika katika utendaji kazi kama Mh. Makufuli.
Katika Marais waliopita ukiacha Hayati Mwalimu Nyerere, hakuna aliyepigania maslahi ya Inchi kama Makufuli.
Kama tunaipenda Inchi yetu na hatuendekezi mambo ya urafiki , maslahi binafsi na chuki binafsi tumwache Mh . Makufuli amalize kipindi chache cha kikatiba.
Hata kama tutakuwa tunampenda na tunamhitaji, ni usaliti na kuivuruga Inchi kwa kubadilisha katiba ili aendelee miaka zaidi ya 10.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema " Kama unarafiki, kanywe nae chai na si kutaka kumpeleka Ikulu"
Ni katiba ya nchi gani inasema urais ni miaka 10 hata ya Uganda inataja miaka 7.
 
Miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi na sio hisani au mshahara wa rais. Hivyo miundombinu itajengwa na yoyote hata kama nchi itakuwa haina rais kwani mipango ya nchi ipo tayari.
Mbona mililalamika kwamba waliopita hawakufanya chochote? Na kwamba chama cha kijani hakifai na ni majizi ? Huyu Membe ni wa chama gani ? Au ataenda chama red blue akasafishike ndipo arudi kijani ? Hebu elewekeni basiiii !!!!! Kwani yule wa Belgium vipi tena ? Mnajichanganya sana ! Mpaka sasa hivi hajulikani nani atasimama upande mbadala, don't tell me that when this former top diplomat is rejected he will cross floor and stand for the opposition flag 😳 ! Upinzani nchi hii bado sana ! Tena sanaaa! Wamejaa activists watupu! Mshaurini vizuri bwana Membe !
 
Kugombea urais ni uhaini?

Kama ni hivyo nadhani kuna haja ya kubadili katiba kwamba kiongozi akichaguliwa kwa kipindi cha kwanza hamna haja ya kuitisha uchaguzi tena mpaka miaka kumi iishe.

Hii ingekaa vizuri na ingepunguza sana hizi kilele
 
Mbona mililalamika kwamba waliopita hawakufanya chochote? Na kwamba chama cha kijani hakifai na ni majizi ? Huyu Membe ni wa chama gani ? Au ataenda chama red blue akasafishike ndipo arudi kijani ? Hebu elewekeni basiiii !!!!! Kwani yule wa Belgium vipi tena ? Mnajichanganya sana ! Mpaka sasa hivi hajulikani nani atasimama upande mbadala, don't tell me that when this former top diplomat is rejected he will cross floor and stand for the opposition flag 😳 ! Upinzani nchi hii bado sana ! Tena sanaaa! Wamejaa activists watupu! Mshaurini vizuri bwana Membe !

Onyesha popote ninapomsupport Membe, au unadhani mimi ni bendera fuata upepo kama ww?
 
Mbona mililalamika kwamba waliopita hawakufanya chochote? Na kwamba chama cha kijani hakifai na ni majizi ? Huyu Membe ni wa chama gani ? Au ataenda chama red blue akasafishike ndipo arudi kijani ? Hebu elewekeni basiiii !!!!! Kwani yule wa Belgium vipi tena ? Mnajichanganya sana ! Mpaka sasa hivi hajulikani nani atasimama upande mbadala, don't tell me that when this former top diplomat is rejected he will cross floor and stand for the opposition flag 😳 ! Upinzani nchi hii bado sana ! Tena sanaaa! Wamejaa activists watupu! Mshaurini vizuri bwana Membe !
Mwenzako kasema miundombinu inajengwa kwa kodi za wananchi, wewe umechanganya vitu vingi pasipo mpangilio be specific unataka nini ujibiwe.
 
Back
Top Bottom