Tetesi: Membe kupokelewa Mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo?

Kwa hio atagombea urais chini ya tume ipi?

Kama atakubali kuhamia act na kugombea urais chini ya hii tume ya wasukuma , basi huyo Membe ni mpumbavu tu
 
Well said mkuu.A.k.a siasa maslahi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishasema hatuna vyama vya upinzani tanzania.
Sipigi kura kwa chama chochote zaidi ya ccm.
 

kimpango wao...kila mtu apambane na hali yake..uendezi wa 2015 sitaki kurudia tena
 
Siasa sio dini
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napingana na wewe asilimia 50000℅,lini pamewahi kuwa na uchaguzi huru.Fanya iwe halafu tupime matokeo na ndiyo tujadili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama Dola!!!!
Chama Cha Mapinduzi
 

Haya mambo yamekorogeka hivi kwa sababu wananchi wamejisahau sana...
Pengine kutokana na elimu ndogo!
Wanasiasa wameachiwa wafanye watakavyo..!!
 
Aliyekutonya ni Tyson Wasira. Kabla ya kwenda kudai bk 7, muombe amalizie basi huo utabiri kuhusu wewe na pia YEYE mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…