golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,270
- 693
Maalim anakuwa mwenyekiti Zanzibar huku ZZK akiwa mwenyekiti bara
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto ni kiongozi mkuu wa chama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maalim anakuwa mwenyekiti Zanzibar huku ZZK akiwa mwenyekiti bara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha ndo bado wanamfuatilia tu .Jamani huyu mzee mungemuacha sasa kwani lengo lenu la kumfukuza tayari limekwishatimia
Kwa hio atagombea urais chini ya tume ipi?Aliyekuwa kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi, Waziri wa Mambo ya Nje, Kachero mbobezi kama anavyoitwa na wapambe wake, Ndugu Bernard Membe anatazamiwa kujiunga na Chama Cha ACT-Wazalendo pindi chama hicho kitakapofanya uchaguzi wa ndani kuchagua viongozi wakuu wa chama hicho.
Chama hicho kinapanga kumpatia Membe nafasi ya Mshauri wa chama ambayo kwa sasa inashikiliwa na Maalim Seif ambaye anaenda kuchagukiwa kuwa Mwenyekiti.
Mchakato wa Membe kujiunga CHADEMA umekuwa mgumu kwa sababu ya historia ya Mzee Lowasa na wenzake ambao walikitumia Chama hicho kugombea na hatimaye kurudi zao CCM.
Aidha Membe amehakikishiwa nafasi ya kugombea urais ndani ya ACT-Wazalendo ambako ndani ya CHADEMA walimuambia wao akienda aende pasipo masharti ya kugombea maana tayari wamemuandaa Tundu Lissu kuwa mgombea wao japo hawajafunga kabisa room ya majadiliano.
Na hizo ndizo mpya katika siasa zetu hapa bongo.
Siasa za Tanzania ni siasa za madaraka!
Sio chama tawala wala wapinzani, wote wanaongelea madaraka!
Hizi ni siasa za kibinafsi ndio maana kwenye masuala ya kulipwa mishahara, ruzuku na posho wote huwa kitu kimoja!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Labda agombee urais wa tff
Nani apigie kura kibaraka wa wahindi na mafisadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania woote hasa sisi wana ccm tutamchagua Membe
In God we Trust
Aliyekuwa kada wa muda mrefu wa Chama Cha Mapinduzi, Waziri wa Mambo ya Nje, Kachero mbobezi kama anavyoitwa na wapambe wake, Ndugu Bernard Membe anatazamiwa kujiunga na Chama Cha ACT-Wazalendo pindi chama hicho kitakapofanya uchaguzi wa ndani kuchagua viongozi wakuu wa chama hicho.
Chama hicho kinapanga kumpatia Membe nafasi ya Mshauri wa chama ambayo kwa sasa inashikiliwa na Maalim Seif ambaye anaenda kuchagukiwa kuwa Mwenyekiti.
Mchakato wa Membe kujiunga CHADEMA umekuwa mgumu kwa sababu ya historia ya Mzee Lowasa na wenzake ambao walikitumia Chama hicho kugombea na hatimaye kurudi zao CCM.
Aidha Membe amehakikishiwa nafasi ya kugombea urais ndani ya ACT-Wazalendo ambako ndani ya CHADEMA walimuambia wao akienda aende pasipo masharti ya kugombea maana tayari wamemuandaa Tundu Lissu kuwa mgombea wao japo hawajafunga kabisa room ya majadiliano.
Na hizo ndizo mpya katika siasa zetu hapa bongo.
Magufuli ni baba lao.Wao wanaamini watamshinda Dr. JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.
Tusiwabague watu kwa rangi, dini, kabila au vyama vyao bali kwa matendo yao.Labda agombee urais wa tff
Nani apigie kura kibaraka wa wahindi na mafisadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa za Tanzania ni siasa za madaraka!
Sio chama tawala wala wapinzani, wote wanaongelea madaraka!
Hizi ni siasa za kibinafsi ndio maana kwenye masuala ya kulipwa mishahara, ruzuku na posho wote huwa kitu kimoja!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Napingana na wewe asilimia 50000℅,lini pamewahi kuwa na uchaguzi huru.Fanya iwe halafu tupime matokeo na ndiyo tujadili.Siasa za Tanzania ni siasa za madaraka!
Sio chama tawala wala wapinzani, wote wanaongelea madaraka!
Hizi ni siasa za kibinafsi ndio maana kwenye masuala ya kulipwa mishahara, ruzuku na posho wote huwa kitu kimoja!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Siasa za Tanzania ni siasa za madaraka!
Sio chama tawala wala wapinzani, wote wanaongelea madaraka!
Hizi ni siasa za kibinafsi ndio maana kwenye masuala ya kulipwa mishahara, ruzuku na posho wote huwa kitu kimoja!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aliyekutonya ni Tyson Wasira. Kabla ya kwenda kudai bk 7, muombe amalizie basi huo utabiri kuhusu wewe na pia YEYE mwenyewe.Nilitonywa ili jumamosi ya juzi,sasa naanza kuamini.
Pili,mnyetishaji aliniambia baada ya yeye kwenda ACT na baada ya uchaguzi mkuu ACT itapata wabunge wengi kuliko chadema na ndio kitakuwa chama kikuu Cha upinzani maana kwa upande wa Zanzibar ACT itapata support kubwa kutoka kwa ACT.
Mwisho kabisa jamaa alinitonya kuwa CHADEMA ndio itakuwa kama NCCR au TLP Yani mbunge/wabunge wao watakuwa wachache Sana tena ni wa kutafuta na torch.Na ACT itapata support kubwa kutoka kwa CHAMA TAWALA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata cheo cha Waziri wa mambo ya nje alibebwa tu
Matokeo yake akataka kuifanya Tanzania kuwa Nchi ya kiislam wakati Tanzania ni secular
Sent using Jamii Forums mobile app