whatever the case! kama ni kweli Maembe anautaka urais, kwanza mwanaume gani kamili asiependa kuamrisha wengine basi Bwana Maembe amefanya uamuzi sahihi kujitoa sisiem ambako kutokana na itifaki angekufa na angezikwa bila kuupata!!
USHAURI KWA MEMBE (free)
Yampasa Maembe kujua kuwa sote pamoja na wale waliomfukuza chamani deep down in our hearts tunajua kama yeye anavyojua kuwa hakufanya kosa lolote theoretically kwakuwa sheria ya kitabuni ya sisiem yamruhusu kumchallenge bosi wake kutafuta ticket ya kugombea urais but practically ndio kapotea maana ile sisiem ni mob na inafuata what they value as the best practise mojawapo anaetawala five years anaachwa amalize na wakamfukuza because chama kile is not made by intellectuals only but it is a mixture of intellectuals and laymen, wajinga wamo mle wengi sana tu na ajue chama is just a mob which is driven by the mood , wishes and temperature of the members and not the reason and laws!! chama as a mob huwa pia na wahuni wengi ndani yake na wakiwa na ushawishi uhuni wanaoshawishi hufanyika!! Membe anapaswa kujua sisiem is not an academic institution of all best and reasonable people around!!
huko alikohamia sijui ACT anapaswa kuwa na subira na kujifanya mjinga na mtupu kisiasa na hajui sana na kusikiliza zaidi aliowakuta kuliko kuongea!! he needs a big support he must relax and calm down!! he must be the best listener in the world!! he must trust me kuwa ZZK na Maalim wanampenda zaidi ya sisiem na wanajua sana siasa za majitaka kuliko yeye!! Maembe’s road to success is only if he can let Zana za Kilimo and Maalim Mzee mentor him!!
i know how Membe feels kuwa anajua zaidi yetu sote bongo na nimeangalia tu picha anamuelekeza Maalim badala ya kutulia na kuelekezwa na Nyani Mzee aliekwepa mishale mingi Yakhe Maalim!! bahati nzuri nimesoma government special school ambayo darasa langu la watu mia moja kila mmoja anamshangaa mwingine alivyo kichwa na lilishika namba moja mtihani wa taifa bila waalimu kutufundisha kivile ,nimeshika namba moja darasani mara nyingi katika maisha yangu so najua how someone who feels anajua kuliko wengine feels, acts na najua kubahatisha kutabiri yanayomkuta!! Maembe anatushangaa wabongo sote na kutuona hatujui na labda pia hatuoni!! asichojua Maembe ni kuwa watu wasiojua huwa wana hila na njama za kufanya anaejua akosee au aonekane amekosea na aonekane hajui na hopeless japo kukosea kwake au jamii kumdharau hakuondoi ukweli kuwa anajua na hakufuti kichwani yale anayojua na kuyaamini!! Ila asichojua Membe ni kuwa anaejua hawezi kuwafanya wasiojua wajue sababu hawana uwezo wa kiakili na kureason kuweza kufikia pale alipo nao wakaweza kujua kama yeye! for me Membe is the strongest man in bongo, for now , for he has stood alone!! i can be his mentor or someone to talk to online tu japo nina umri mdogo!!sina shida ya pesa wala sina shida ya kuonana nae!!