MEMBE: Mimi ni kachero ndiyo na kachero muda wote yupo kazini

MEMBE: Mimi ni kachero ndiyo na kachero muda wote yupo kazini

jitombashisho

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
667
Reaction score
2,245
Ni maneno ya Membe alipo mjibu swali ndugu Generali Ulimwengu.

Hoja hapa ni kwa usalama upi wa hakika kama kachero huyo kama alivyo jinasibu mwenyewe kwamba yu kazini bado hadi kiama kwa yeye kuwa upinzani au ni zuga na yupo kazini hata huko?

Je, ni kweli mtumishi huyo mtiifu wa idara yetu pendwa anaweza kuwa pahali pasi na maslahi kwa mabosi wake?

Inafikirisha sana!
 
Kama anakiri yeye ni kachero mpaka kiama basi anamfanyia kazi bosi wake wa miaka yote, anatakiwa kuwa makini na matamshi yake, vinginevyo anaonekana kuiharibu kazi aliyotumwa tena hata kabla hajaianza.
 
Kama anakiri yeye ni kachero mpaka kiama basi anamfanyia kazi bosi wake wa miaka yote, anatakiwa kuwa makini na matamshi yake, vinginevyo anaonekana kuiharibu kazi aliyotumwa tena hata kabla hajaianza.
Nadhani ameshajua walioko huko alikoenda, wengi ni wenzake wakiwa na kazi moja, yeye ni kama ameteuliwa kwenda kuwa kiongozi...prezidensho apointiii.

Tuko salama sana hii njii, kama umeelewa.
 
Membe anakuja upinzani kwa kazi maalum siyo kutaka uraisi. Anajua kabisa hawezi kuwa raisi. Mjiongeze!
Hakuna cha kazi maalum kaka CCM ni imara haiwezi kufanya kutumia mbinu 800 kuishinda CHADEMA ambayo yaina ushawishi
 
Lipo jambo la usalama, JPM si wa kufanyiwa vitimbi na Membe.
 
Kama anakiri yeye ni kachero mpaka kiama basi anamfanyia kazi bosi wake wa miaka yote, anatakiwa kuwa makini na matamshi yake, vinginevyo anaonekana kuiharibu kazi aliyotumwa tena hata kabla hajaianza.
Jamaa Ni mkristo saaaaaaaf.
 
Upinzani haunaugomvi na idara za umma ,kama Polisi,jeshi au TISS tukishinda uchaguzi tutazitumia kwa maslahi ya Taifa.
 
whatever the case! kama ni kweli Maembe anautaka urais, kwanza mwanaume gani kamili asiependa kuamrisha wengine basi Bwana Maembe amefanya uamuzi sahihi kujitoa sisiem ambako kutokana na itifaki angekufa na angezikwa bila kuupata!!

USHAURI KWA MEMBE (free)

Yampasa Maembe kujua kuwa sote pamoja na wale waliomfukuza chamani deep down in our hearts tunajua kama yeye anavyojua kuwa hakufanya kosa lolote theoretically kwakuwa sheria ya kitabuni ya sisiem yamruhusu kumchallenge bosi wake kutafuta ticket ya kugombea urais but practically ndio kapotea maana ile sisiem ni mob na inafuata what they value as the best practise mojawapo anaetawala five years anaachwa amalize na wakamfukuza because chama kile is not made by intellectuals only but it is a mixture of intellectuals and laymen, wajinga wamo mle wengi sana tu na ajue chama is just a mob which is driven by the mood , wishes and temperature of the members and not the reason and laws!! chama as a mob huwa pia na wahuni wengi ndani yake na wakiwa na ushawishi uhuni wanaoshawishi hufanyika!! Membe anapaswa kujua sisiem is not an academic institution of all best and reasonable people around!!

huko alikohamia sijui ACT anapaswa kuwa na subira na kujifanya mjinga na mtupu kisiasa na hajui sana na kusikiliza zaidi aliowakuta kuliko kuongea!! he needs a big support he must relax and calm down!! he must be the best listener in the world!! he must trust me kuwa ZZK na Maalim wanampenda zaidi ya sisiem na wanajua sana siasa za majitaka kuliko yeye!! Maembe’s road to success is only if he can let Zana za Kilimo and Maalim Mzee mentor him!!

i know how Membe feels kuwa anajua zaidi yetu sote bongo na nimeangalia tu picha anamuelekeza Maalim badala ya kutulia na kuelekezwa na Nyani Mzee aliekwepa mishale mingi Yakhe Maalim!! bahati nzuri nimesoma government special school ambayo darasa langu la watu mia moja kila mmoja anamshangaa mwingine alivyo kichwa na lilishika namba moja mtihani wa taifa bila waalimu kutufundisha kivile ,nimeshika namba moja darasani mara nyingi katika maisha yangu so najua how someone who feels anajua kuliko wengine feels, acts na najua kubahatisha kutabiri yanayomkuta!! Maembe anatushangaa wabongo sote na kutuona hatujui na labda pia hatuoni!! asichojua Maembe ni kuwa watu wasiojua huwa wana hila na njama za kufanya anaejua akosee au aonekane amekosea na aonekane hajui na hopeless japo kukosea kwake au jamii kumdharau hakuondoi ukweli kuwa anajua na hakufuti kichwani yale anayojua na kuyaamini!! Ila asichojua Membe ni kuwa anaejua hawezi kuwafanya wasiojua wajue sababu hawana uwezo wa kiakili na kureason kuweza kufikia pale alipo nao wakaweza kujua kama yeye! for me Membe is the strongest man in bongo, for now , for he has stood alone!! i can be his mentor or someone to talk to online tu japo nina umri mdogo!!sina shida ya pesa wala sina shida ya kuonana nae!!
 
Jitombashisho jina muru sana.

Membe,ccm,mafisadi,walaghai,madikteta,wezi wa mali ya uma na mengi mengineyo ni sifa ya siasa.

Tanzania bado tu washamba wa siasa.
 
Back
Top Bottom