4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
mkuu we ni muongo sana , et hata apewe kura zake kuesabu atakataa, fanyeni hivyo muone kama atakataa na kumbuka ugombea wake wa kwanza wa ubunge mbona alishindwa hata yeye anakili , acheni izo mkuu tume ikimkata wajiamdae kwenda icc maana litakalo tokea kwa sasa wao ndo wanawajibika kwa asilimia 100 na hakuna namna wanaweza chomokaLissu hayupo tayari kushindwa kwa namna yoyote,yupo kishari zaidi na kulipa kisasi.kwa hiyo,hata apewe kura zake ahesabu mkononi,hata kibali,nia yake ni machafuko tu
Membe kaongea ukweli mtupu. Na siku zote ukweli unauma. Huyo Lissu ameanza kampeni mapema sana
Hv mtu jasusi mbobezi halafu unamkaribisha kwenye chako agombee Urais, inabidi upimwe akiliUpo sahihi. Nilishangaa sana Maalim kuchahua ACT mpaka nikahisi pengine Maalim ni prohect ya CCM,
Uwezi kuwa na akili timamu ukajiunga na Zitto maana huyo ni afisa kipenyo kitambo.
We mfano ulitaka uambiwe wangapi ndugu tindo?Tume ya uchaguzi kwa maelekezo ya Magufuli na ccm ndio wanatumika kuaandaa machafuko. Inakuwaje nchi yenye wananchi karibia 60m wapiga kura wawe 29m+? Ina maana nusu ya watanzania wako miaka 18 na kuendelea? Kama idadi ya wapiga kura ni ya uongo, matokeo watatamgazaje ya ukweli? Kama sio kuandaa mazingira ya machafuko ni nini?
Huyu saikolojia yake inamtuma kwamba waambie NEC kuwa Tundu Lissu alianza kampeni mapema so akatwe.Hii ndio mantiki ya hoja yake.uchonganishi.Mgombea Urais wa Chama cha ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema wao wamepata wadhamini katika mikoa kumi
Amesema ACT-Wazalenda waliamua kutafuta wadhamini kimyakimya ili kuepuka kuteleza
Majina wa wateule wa kugombea Urais yanatarajia kutolewa na Tume ya Uchaguzi, NEC Agosti 25, na kampeni zitaanza Agosti 26
Chanzo: ITV
We mfano ulitaka uambiwe wangapi ndugu tindo?
Ndio maana nikakuuliza ili uridhike na hiyo idadi kuwa kwako hiyo ni kweli inatakiwa wataje wangapi??Sina idadi maalum, bali nataka idadi ya kweli, ili niwe na uhakika wa kitakachotangazwa.
Ndio maana nikakuuliza ili uridhike na hiyo idadi kuwa kwako hiyo ni kweli inatakiwa wataje wangapi??
Hivi ukweli au uongo wa matokeo huwa unaamuliwa na uwingi au uchache wa watu?Kama tunakaribia 60m, inawezekana vipi nusu wawe 18+? Halafu idadi ni ya kupika kisha mtake tukubali matokeo? Wanaotangaza matokeo kama wameweza kutengeneza idadi ya kupika, watashindwa nini kutangaza matokeo ya kupika?
Hivi ukweli au uongo wa matokeo huwa unaamuliwa na uwingi au uchache wa watu?
Imekuwa vyema Chadema wamemstukia huyo Membe kuwa katumwa!Wasalaam wana jamvi!
Mgombea wa ACT Wazalendo jana alikwenda mahakama kuuu kula kiapo kwa judge ... alipoulizwa na waandishi kuhusu njia yake ya kutafuta wadhamini aliweka wazi kabisa yeye alikuwa mtulivu kusoma kanuni na sheria hivyo ndio maana alitumia njia ya kutafuta wadhamini kimya kimya ili asivunje kanuni alizo zisoma na kuzielewa!
Alisema wazi kabisa hakutaka kuingia kwenye mtego wa kuanza kampeni kabla ya muda maana muda ya kujinadi bado haujafika mpaka hapo watakapo vuka kiunzi cha kuteuliwa na tume!
Ni wazi kuna mtu hapa alikuwa ana kumbushwa na kutumiwa salamu!
Wape salaaam....
Mswahilikavaasuti
Atleast ungelalamika kuwa idadi ya wapiga ni kubwa kuliko uhalisia ungeeleweka. Ila kusema idadi halisi ni ndogo na wewe unataka iwe kubwa hapo unatia shaka.Matokeo huwa yanaamuliwa na wapiga kura halali. Sasa kama tume ya uchaguzi inapika idadi ya wapiga kura, matokeo yatakuwaje sahihi?
Ndio lao yeye na zito. Usidhani zile kelele za Zito zinamtakia mema lissu na CHADEMAHuyu saikolojia yake inamtuma kwamba waambie NEC kuwa Tundu Lissu alianza kampeni mapema so akatwe.Hii ndio mantiki ya hoja yake.uchonganishi.
Mkuu Lissu kajichanganya, watamfix kwa kuanza kampeni kabla ya wakati. Alikuwa na haraka ya nini kuanza kupanda majukwaani na kuanza kuuza sera za CHADEMA. Kama akichomoa basi itakuwa tu ni huruma ya Tume, vinginevyo anachomolewa saa moja asubuhi.Lissu ni mkongwe wa sheria ni wazi hajakurupuka,anajua alifanyalo,wajichanganye kumuengua uchaguzi UTASIMAMA.
Atleast ungelalamika kuwa idadi ya wapiga ni kubwa kuliko uhalisia ungeeleweka. Ila kusema idadi halisi ni ndogo na wewe unataka iwe kubwa hapo unatia shaka.
Membe ni Lowassa aliyechangamkaUyu mwamba hana nguvu