Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Membe: Musiba na Mchange anayewatuma kunichafua kwanini hamnipeleki mahakamani? Kama mnaweza kunirekodi mmeshindwa nini kutoa huo ushahidi

Kesi yake dhidi ya Musiba ilifikia wapi kwani?
 
Membe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya

Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika

Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali

Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Mikocheni Junction uko nje ya mada. Hapo ndipo mnapokosea wafuasi wa Jiwe
 
Uchu Wa madaraka unawatesa. Mbona hakuna kurudi nyuma. Endeleeni kujidanganya
 
Kile kiwanda chenu cha kupika majungu na upotoshaji kimebaki uchi sasa,tupu zenu nje
nikikuuliza maana ya alumni utakuwa hujui. wewe ni mmoja wa wabwekaji wa taifa. eleza hizo siku tatu rais wetu kipenzi alikuwa wapi? rais ni wetu tuna haki yote kujua alikuwa wapi wakati uzushi huo unatrend. inaelekea ninyi wabwekaji mlitaka aendelee kuumwa ndio mjue anaumwa! kuna magonjwa mengine ni ya sekunde kadhaa tu. kichomi au hata heart attack ni kwa muda mfupi sana lakini simuliwa tu habari!
 
Hivi Membe shida nini? unataka nini zaidi?

Nashauri utulie sometime kukaa kimya ni busara.

Acha kuuadaa Umma Ili upinzani waje 2020 wafanye kama walivyofanya 2015 kwa Lowassa
Ni haki yake kikatiba kuchaguliwa hivyo aachwe atumie haki yake wasiwasi wa nini wakati mkuu anauzika
 
Mh! hii ngumu kumeza, kukaa kimya ni busara pia.
Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.

Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.

Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.

Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.

Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.

Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
 
Mkuu treason haiwezi kuwepo kwa kumshughulikia wahuni kama hao. Treason ni kwa Rais wa nchi tu.

muwe mnafanya utafitikwanza bila kulopoka tu. et trason ni kwa rais wa nchi tu...

treason
trēzən]

NOUN

high treason (noun) · high treasons (plural noun) · treasons (plural noun) · petty treason (noun) · petty treasons (plural noun)
  1. the crime of betraying one's country, especially by attempting to kill the sovereign or overthrow the government.
    "they were convicted of treason"
    synonyms:

    treachery · lese-majesty · disloyalty · betrayal · faithlessness · perfidy · perfidiousness · duplicity · infidelity · sedition · subversion · mutiny · rebellion · high treason · Punic faith
    antonyms
    :

    allegiance · loyalty
 
Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.

Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.

Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.

Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.

Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.

Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Kwa hiyo membe unavyosema akili za mbilikimo unamaanisha hawana akili watu wa hivo aisee we ni mbaguzi wa hatari na mchochezi katika taifa hili lea wajukuu uongizi kwa sasa ushau
 
Haahaa dunia kweli duara, aliyekuwa waziri Wa mambo ya nje Leo analalamika kama sie RAIA.hili Ni somo kwa waliopo madarakani Leo wasidhani watadumu mamlakani milele.Ila membe kwa misemo hatari, eti wabwekaji Wa taifa.
Mmmh! kwani huo nao ni msamiati
 
Wanao mzushia Rais Wana kesi ya kujibu vyombo husika vipo,Msiba hakupaswa kumshambulia mtu kwa lolote Bali kama anao ushahidi aupeleke polisi au mahakamani,na siyo kubwabwaja bwabwaja maneno kwenye magazeti
 
Hakuna mtu mwenye madalaka Duniani aliyewahi kuungwa mkono na kila mtu.
Ni lazima mtu alijue hilo na kuliruhusu.
WAPINZANI walikuwepo wapo na watakuwepo hata ndani ya Familia moja.
Haiwezekani kila mtu aseme ndio ndio ndio na hongera kwa mtu fulani.
Ijulikane hivyo na ikubalike, hii ni formula ya maisha.
Watu wanampinga Mungu sembuse mtu.
Wapo wanaompinga hata hapohapo ndani.
Ndani ya Ikulu.
 
Ndio ume coment nini wewe?

Jinsia yako ina shida,watu wanaongelea topic za maana wewe unaleta urojo humu?
 
Musiba anasema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao watachukua hatua dhidi ya aliowataja kwenye orodha yake kama Waziri wa Mambo ya ndani hatatii maagizo yake ya kuwachukulia hatua.

Sijui makosa ya aliowaoredhesha lakini kusema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao wanaweza kuchukua hatua za kuwashughulikia watu anaowatuhumu kama serikali haitafanya hivyo, hiyo ni zaidi ya uanaharakati it is tantamount to treason. Watu milioni tatu si wachache kama wakitii amri ya mtu mmoja kinyume na mamlaka.
Najua nchi hii kuna wendawazimu wengi lakini sidhani kama wanafika milioni 3.
 
Naona unasadiki na kuunga unga tu.
mbona nyani wana akili. muulize mlinda mahindi. nakuona unatusi kila aliye mbali na karibu! kisa nini? kwamba rais wetu kipenzi hawezi kuumwa na akapona kama amepona katika muda wa siku tatu? mbona hata nyani unawaaibisha! rais wetu augue mwaka mzima? ndio mnamwombea hayo na kutangaza uanaharakati huru? hakika ninyi wabwekaji wa taifa. alikuwa wapi siku tatu? ukijibu utakuwa na haki ya kutukana vinginevyo wewe ni sokwe tu!
 
Back
Top Bottom