Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikocheni Junction uko nje ya mada. Hapo ndipo mnapokosea wafuasi wa JiweMembe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
nikikuuliza maana ya alumni utakuwa hujui. wewe ni mmoja wa wabwekaji wa taifa. eleza hizo siku tatu rais wetu kipenzi alikuwa wapi? rais ni wetu tuna haki yote kujua alikuwa wapi wakati uzushi huo unatrend. inaelekea ninyi wabwekaji mlitaka aendelee kuumwa ndio mjue anaumwa! kuna magonjwa mengine ni ya sekunde kadhaa tu. kichomi au hata heart attack ni kwa muda mfupi sana lakini simuliwa tu habari!Kile kiwanda chenu cha kupika majungu na upotoshaji kimebaki uchi sasa,tupu zenu nje
Ni haki yake kikatiba kuchaguliwa hivyo aachwe atumie haki yake wasiwasi wa nini wakati mkuu anauzikaHivi Membe shida nini? unataka nini zaidi?
Nashauri utulie sometime kukaa kimya ni busara.
Acha kuuadaa Umma Ili upinzani waje 2020 wafanye kama walivyofanya 2015 kwa Lowassa
Anaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.
Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.
Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.
Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Mkuu treason haiwezi kuwepo kwa kumshughulikia wahuni kama hao. Treason ni kwa Rais wa nchi tu.
Fanya kazi acha kujadili wanaume wenzioEti Musiba ndio Good looking mwenye sura ya kuvutia handsome kulikowwanaume wote mkoa wote wa mara.
Kwa hiyo membe unavyosema akili za mbilikimo unamaanisha hawana akili watu wa hivo aisee we ni mbaguzi wa hatari na mchochezi katika taifa hili lea wajukuu uongizi kwa sasa ushauAnaandika Bernard Membe.
Rondo- Lindi.
Watanzania Wenzangu! Nawasalimia! Kwa siku tatu mfululizo magazeti ya makuhani wa fitina na unafiki Musiba na Mchange na wenzao wamekuwa wakinishambulia kwa uchochezi wa sintofahamu iliyotokea kuanzia Alhamisi tarehe 17 Octoba siku ambayo Mhe Rais ameondoka Lindi kuelekea Dar hadi Jumapili ya tarehe 20. Mimi nipo Kijijini kwangu Rondo kwa mwezi mmoja sasa.
Ni nini hicho nilichokisema au kukiandika kwenye mitandao ya kijamii? Kwa kuwa mawasiliano yangu yote nayafanya kwa simu yangu ambayo inasikilizwa na kudukuliwa, naviomba vyombo vinavyohusika vitoe hadharani mazungumzo na maandishi yangu ili watu wasikie, wasome na wanihukumu. Napenda niuhakikishie umma kuwa Mimi sikuwa mjinga! Nilijua kuwa nikisema au kuandika vibaya, wabaya wangu wataninyooshea vidole.
Sikuingia kwenye mitego yao hiyo. Mimi kama Watanzania wote wenye akili za kawaida nilishangazwa sana na ukimya wa Serikali huku damage na rumours zikiwa zimetanda kote nchini bila kuzitolea maelezo kwa siku 3 mfululizo! Mhe. Rais ni kiongozi wa Umma. Inapotokea sintofahamu au upotoshaji wowote ule, ulikuwa ni wajibu wa Msemaji wa Ikulu au wa Serikali kukanusha na kuweka mambo sawa kama wanavyofanya siku zote.
Vinginevyo wale wenye akili za mbilikimo na makuhani wa unafiki wanachukua mwanya huo kutunga ya kwao ili kumfurahisha Mhe. Rais. Good governance requires quick response to rumours. Rumours left unattended damages governance! Narudia! Naviomba vyombo husika vitoe hadharani nilichokisema au kupost kwenye mitandao ili nihukumiwe na Wananchi wenyewe na sio na Wabwekaji wa Taifa.
Ben Membe.
Rondo- Lindi.View attachment 1241102View attachment 1241103
Mashangazi wa Ruangwa noma sana, kumbe walikuwa wanamlia timing.
Mmmh! kwani huo nao ni msamiatiHaahaa dunia kweli duara, aliyekuwa waziri Wa mambo ya nje Leo analalamika kama sie RAIA.hili Ni somo kwa waliopo madarakani Leo wasidhani watadumu mamlakani milele.Ila membe kwa misemo hatari, eti wabwekaji Wa taifa.
Wamshtaki kama ushahidi upoMembe arudishe tu mabilion ya Watanzania aliyopora kutoka libya
Jamhuri ikiamua kumshitaki atafilisika
Pia sio vizuri kuwatumia vijana kubweka mtandaoni kuisema serkali
Tuendelee kumuunga mkono mh Rais Kwa uchapa kazi
Najua nchi hii kuna wendawazimu wengi lakini sidhani kama wanafika milioni 3.Musiba anasema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao watachukua hatua dhidi ya aliowataja kwenye orodha yake kama Waziri wa Mambo ya ndani hatatii maagizo yake ya kuwachukulia hatua.
Sijui makosa ya aliowaoredhesha lakini kusema ana watu milioni tatu nyuma yake ambao wanaweza kuchukua hatua za kuwashughulikia watu anaowatuhumu kama serikali haitafanya hivyo, hiyo ni zaidi ya uanaharakati it is tantamount to treason. Watu milioni tatu si wachache kama wakitii amri ya mtu mmoja kinyume na mamlaka.
mbona nyani wana akili. muulize mlinda mahindi. nakuona unatusi kila aliye mbali na karibu! kisa nini? kwamba rais wetu kipenzi hawezi kuumwa na akapona kama amepona katika muda wa siku tatu? mbona hata nyani unawaaibisha! rais wetu augue mwaka mzima? ndio mnamwombea hayo na kutangaza uanaharakati huru? hakika ninyi wabwekaji wa taifa. alikuwa wapi siku tatu? ukijibu utakuwa na haki ya kutukana vinginevyo wewe ni sokwe tu!Naona unasadiki na kuunga unga tu.