Uchaguzi 2020 Membe: Naufahamu uwezo wa Lissu, nitahakikisha anapata kazi kwenye serikali yangu

Hivi huyu mzee anakulaga weed?

Yaani hata mimi namshangaa, kama sio weed then yuko in denial..yaani anajiona atakua Rais...eti siku nyingine katilia yuko kimya sababu anapanga mawaziri wa serikali yake, hapo ndipo nikajua huyu baba mtambo ... hahahahahahaahhaahah
 
Mzee wa game!! Ze comedy!!
 
Hiv nae ni mgombea urais wa Tanzania ??
 
Alivyokaribishwa tu akawashurutisha waingize kale ka kipengele ambako ndo jamaa zake wamemwandikia msajili...poor Membe..

Akili zake na za CCM zipo sawa...walitegemea atakuwa mgombea wa upinzani wafanye ujinga ule ule kama
wa Lowassa..,

Kukuuuuu.....
 
Ni wakti wa upinzani tujifunze kwa CCM... Tufuate nyayo!
Malalamiko ya kila siku tunaibiwa sisi, tunawekewa mapandikizi sijui nini na upuuzi wa maneno mengi yanakera kwa watu wenye akili timamu.
 
Bora mboga mboga fc walivyomfukuza huyu mtu..yaani hajielewi hata kidogo maana kama comedian hivi tena sampuli ya kina mr bean.

BM Tafadhali usitake kutugawia kura kwenye huu uchaguzi
 
DAKIKA ya 87 subirini Kachero Jasusi abutue Nje
 
Ni wakti wa upinzani tujifunze kwa CCM... Tufuate nyayo!
Malalamiko ya kila siku tunaibiwa sisi, tunawekewa mapandikizi sijui nini na upuuzi wa maneno mengi yanakera kwa watu wenye akili timamu.

Wewe una akili timamu na wewe?
 
Huyo ameshakuwa chizi jameni.kama mke wake yupo au ndugu zake wakaribu wasikae kimya au kufumbia macho.waanze kuangaika mapema.Hili sasa ni tatizo kubwa.Sikipendi hiki cheo cha urais.Kitaleta maafa miongoni mwa watu.
 
Mavii hiyo ndoto ulivimbiwa tu ugali maharagwe basi nawewe nakuambia huwezi kuota ndoto ya maana kama sio kukimbizwa ma ng'ombe au nyoka

Sent from my SM-A910F using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata mimi namshangaa, kama sio weed then yuko in denial..yaani anajiona atakua Rais...eti siku nyingine katilia yuko kimya sababu anapanga mawaziri wa serikali yake, hapo ndipo nikajua huyu baba mtambo ... hahahahahahaahhaahah
Dah!!!!,Naona anakoelekea ni kubaya sana,anahitaji matibabu tusije tukampoteza.
 
Anatakuwa na changamoto ya akili.... Amekuwa Akiongea vitu bila thinking kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…