HIBISCUS 80
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 1,058
- 1,218
Yaani wewe umecheka Kama Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji485]
Hapa nilipo mbavu zinauma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe umecheka Kama Mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji485]
Hivi huyu mzee anakulaga weed?
Mzee wa game!! Ze comedy!!Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Dk ya 89 hahahaaaaaaNasubiri dakika ya 89 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwa sasa tuko 86.5Bado dakika ngapi ifike ya 89?
CHADEMA walimjua Membe mapema sana ndio maana walimkataa alipotaka kujiunga nao..
Serikali ya CCM siku zote imekuwa ikitumia mbinu zilezile kila Uchaguzi ufanyikapo..
Ndio maana mbinu zao za wizi wa KURA ni zilezile toka 1995 hadi Leo na iwapo wataweza kuforce this time kujitangazia ushindi na tukakubali basi hali ya Mtanzania itakuwa mbaya kuliko Ubaya wenyewe..
Kwa sasa tuko 86.5
Muhimu huu ndo muda wa kuona maajabu ya goli la dakika zile mbaya kabisaNaona mhasibu wetu uko makini [emoji22][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni wakti wa upinzani tujifunze kwa CCM... Tufuate nyayo!
Malalamiko ya kila siku tunaibiwa sisi, tunawekewa mapandikizi sijui nini na upuuzi wa maneno mengi yanakera kwa watu wenye akili timamu.
Huyo ameshakuwa chizi jameni.kama mke wake yupo au ndugu zake wakaribu wasikae kimya au kufumbia macho.waanze kuangaika mapema.Hili sasa ni tatizo kubwa.Sikipendi hiki cheo cha urais.Kitaleta maafa miongoni mwa watu.Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
Mavii hiyo ndoto ulivimbiwa tu ugali maharagwe basi nawewe nakuambia huwezi kuota ndoto ya maana kama sio kukimbizwa ma ng'ombe au nyokaUsiku wa leo nimeota kuwa hapa kwetu yatatokea Kama yale yaliyotokea DRC, yaani was halisi wanapambana na hatimaye kushinda uchaguzi, mazungumzo yanafanyika na hatimaye anatangazwa mpinzani dhaifu na anakabidhiwa nchi [emoji30][emoji30][emoji30][emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Dah!!!!,Naona anakoelekea ni kubaya sana,anahitaji matibabu tusije tukampoteza.Yaani hata mimi namshangaa, kama sio weed then yuko in denial..yaani anajiona atakua Rais...eti siku nyingine katilia yuko kimya sababu anapanga mawaziri wa serikali yake, hapo ndipo nikajua huyu baba mtambo ... hahahahahahaahhaahah
Wamuwahi kabla hajaanza kula majalalani vinginevyo atakuwa haponi tena.Dah!!!!,Naona anakoelekea ni kubaya sana,anahitaji matibabu tusije tukampoteza.
Kha!kha!kha!,Wataalamu wa saikolojia watakuwa wanajua tatizo hilo.Wamuwahi kabla hajaanza kula majalalani vinginevyo atakuwa haponi tena.