Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Bao dakika ya 89 Membe analipataje? aache kuigiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado dakika ngapi ifike ya 89?
Ht 2015 uliota hvy hvy lkn hayakutokeaUsiku wa leo nimeota kuwa hapa kwetu yatatokea Kama yale yaliyotokea DRC, yaani was halisi wanapambana na hatimaye kushinda uchaguzi, mazungumzo yanafanyika na hatimaye anatangazwa mpinzani dhaifu na anakabidhiwa nchi 😩😩😩☹️☹️☹️
Kama moja na nusu hivi.Bado dakika ngapi ifike ya 89?
Nimepata hizi tetesi kuwa, huenda Jumanne ijayo akarejea CCM kwa sharti la kurejeshewa uanachama wake. Yuko kwenye majadiliano, ndio maana ya kufunga goli dakika 89Membe baada ya uchaguzi anarudi CCM.
Lissu ndio mpinzani wa kwelii.
Ni sawa na yule mwizi wa PHD akihojiwa anaua watu!Lissu ana uanasheria wa kiharakati si uharakati wa Kisheria. Membe amekosea kuhusisha uanasheria kuwa ni bora kuliko mwanasheria!
Mpinzani wa kweli huwa na misimamo isiyoyumba,sio leo unasema hivi kesho unafanya vile.Membe baada ya uchaguzi anarudi CCM.
Lissu ndio mpinzani wa kwelii.
HUYU ACT WAMFUKUZE, NI PANDIKIZIMembe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa yeye anaongoza kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali anaona ingekuwa busara kwa upinzani kama wangeweka nguvu pamoja na kumsupport yeye, pia amedai anaufahamu vizuri uwezo wa Lissu kisheria na hivyo kumhakikishia kazi katika serikali yake mpya kadri ya katiba itakavyoruhusu.
Wakuu yapi maoni yenu?
I've written earlier about this watu wanaona ndoto 😁.Usiku wa leo nimeota kuwa hapa kwetu yatatokea Kama yale yaliyotokea DRC, yaani was halisi wanapambana na hatimaye kushinda uchaguzi, mazungumzo yanafanyika na hatimaye anatangazwa mpinzani dhaifu na anakabidhiwa nchi 😩😩😩☹️☹️☹️