Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Membe: Sijaandika barua ya kujiunga CHADEMA, naheshimu upinzani kwa kuikosoa upinzani ndio maendeleo

Hana hofu na upinzani ila Watanzania tunachukua tahadhari dhidi ya Chadema ifutike maana walitaka kuharibu Amani kwa kutumia na Mabeberu
Wapinzani wengine hawana tatizo
LEO TENA UNASEMA CHADEMA IPO WAKATI ULISHASEMA IMEKUFA. KWANI IMEFUFUKA LINI?
 
Magu hata asipopiga kampeni ushindi ni 98% Watanzania wanamkubali sana
Magu atakuwa rais wa Kwanza Tanzania kuwa rais kwa miaka 10 huku akiwa amepoteza chaguzi zote mbili.yaani huyu jamaa kwenye hii dunia sijui kitu gani anakipatia vizuri
 
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
Membe akisimama na magu, basi mapeeema usubuhi walahi Membe anaapishwa.
 
Amka kaka Rais Magufuli hata angegombea Urais wa Africa angeshinda kwa kishindo
Magu atakuwa rais wa Kwanza Tanzania kuwa rais kwa miaka 10 huku akiwa amepoteza chaguzi zote mbili.yaani huyu jamaa kwenye hii dunia sijui kitu gani anakipatia vizuri
 
Amka kaka Rais Magufuli hata angegombea Urais wa Africa angeshinda kwa kishindo
Mkuu huyu huyu ambaye hata SADC wanajuta kumpa uenyekiti hadi watu wenye akili kule SA ikawabidi kuingilia Kati kufanya majukumu yake ndo unasema? Hapa Tanzania tu alipata kura ngapi labda tuanzie hapo Kwanza?
 
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
IMG-20200613-WA0027.jpg
k
 
Pohamba!waliazimia kumfukuza membe bado hajafukuzwa !!hadi apewe barua rasmi!kitu ambacho kamati haijafanya na haitofanya!!
Barua alitumiwa kwenye sanduku lake la Posta.
Ni njia halali ya mawasiliano.
Kama hajapata CC wanao ushahidi.
 
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe si kitendo cha uadui!- Bernard Membe.

Chanzo: HabariLeo Mtandao

Ukishaona tu Mwanasiasa haeleweki, Mjeuri, ana Kiburi Kingi, Mnafiki ( Ndumilakuwili ) jua ana Matatizo na hafai hata kuwa Rais wenu atawasaliti.
pamoja sana hapo ulipoongeza maelezo. Aliwahi kuiingiza nchi hasara kubwa sana. Kuhimiza majeshi yaende comoro ili kuleta urafiki. Kweli unaenda kwenye vita ili kuleta urafiki. Zile gharama zilikuwa ni kubwa na kuna kamanda wetu mmoja alipotea. Pili alikuwa anaonyesha msimamo yuko pamoja na wapalestina na akatoa statement ambazo ziliikosesha nchi fursa na israel badala ya kukaa kimya. Aliingilia mambo yasiyomuhusu. Hiyo ni mifano miwili tuu. Ashukuriwe Raisi wetu sasa mahusiano ni mazuri na tuna ubalozi.
 
Bernard Camillius Membe anaweza kuwa anajua anachokifanya lakini mashabiki wa kisiasa hawajui anachofanya.

1. Vyama vya Upinzani vikipoteza "focus" kwa kumtazama Membe kama kura ya turufu, kwenye Uchaguzi itawaletea faida kidogo sana.

2. Membe anajua kwa vyovyote ilivyo hawezi hata tu kupewa fomu ya kuomba kugombea Urais kupitia Chama cha Kijani. Hii inaonyesha mapungufu makubwa katika demokrasia yetu ambayo tunajinasibu kuwa imekua.

3. Nguvu ya Membe ni ya "kufikirika" zaidi kuliko "uhalisia". Hii haina kwamba hana athari kwenye siasa za Tanzania.

Yote kwa yote, ni jambo la kusubiri kuona kama hii kauli imetoka kwa Membe.
 
Back
Top Bottom