LEO TENA UNASEMA CHADEMA IPO WAKATI ULISHASEMA IMEKUFA. KWANI IMEFUFUKA LINI?Hana hofu na upinzani ila Watanzania tunachukua tahadhari dhidi ya Chadema ifutike maana walitaka kuharibu Amani kwa kutumia na Mabeberu
Wapinzani wengine hawana tatizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LEO TENA UNASEMA CHADEMA IPO WAKATI ULISHASEMA IMEKUFA. KWANI IMEFUFUKA LINI?Hana hofu na upinzani ila Watanzania tunachukua tahadhari dhidi ya Chadema ifutike maana walitaka kuharibu Amani kwa kutumia na Mabeberu
Wapinzani wengine hawana tatizo
Magu atakuwa rais wa Kwanza Tanzania kuwa rais kwa miaka 10 huku akiwa amepoteza chaguzi zote mbili.yaani huyu jamaa kwenye hii dunia sijui kitu gani anakipatia vizuriMagu hata asipopiga kampeni ushindi ni 98% Watanzania wanamkubali sana
Membe akisimama na magu, basi mapeeema usubuhi walahi Membe anaapishwa.Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
Magu atakuwa rais wa Kwanza Tanzania kuwa rais kwa miaka 10 huku akiwa amepoteza chaguzi zote mbili.yaani huyu jamaa kwenye hii dunia sijui kitu gani anakipatia vizuri
Mkuu huyu huyu ambaye hata SADC wanajuta kumpa uenyekiti hadi watu wenye akili kule SA ikawabidi kuingilia Kati kufanya majukumu yake ndo unasema? Hapa Tanzania tu alipata kura ngapi labda tuanzie hapo Kwanza?Amka kaka Rais Magufuli hata angegombea Urais wa Africa angeshinda kwa kishindo
Tatizo ni wapinzani, hawajiamini na wananunulika kirahisi sanaTatizo ni wapinzani au tume ya uchaguzi?
Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe siyo kitendo cha uadui!
Barua alitumiwa kwenye sanduku lake la Posta.Pohamba!waliazimia kumfukuza membe bado hajafukuzwa !!hadi apewe barua rasmi!kitu ambacho kamati haijafanya na haitofanya!!
Hana ubobevu/ ubobezi huo mnao mpa. Asingeibiwa faili wkt wa mchakato 2015 na Siri zake kuvuja.Huyu ni "jasusi mbobevu" akitumia taaluma yake tu, aliwazalo mjinga ndio litatokea.
Membe kwa tikiti ya Chama gani?Membe akisimama na magu, basi mapeeema usubuhi walahi Membe anaapishwa.
Magufuli hawezi ruhusu huo upumbavu utokee. Nani asiyejua Membe ni puppet wa mabeberukumbe bado hujajua kuwa oktoba membe ndo anawania urais kwa tiket ya CCM
I dont care anao au hana. Political issues zake hazinihusu. I am speaking of character yake.Hata hivyo hana ushawishi
Both.Tatizo ni wapinzani au tume ya uchaguzi?
pamoja sana hapo ulipoongeza maelezo. Aliwahi kuiingiza nchi hasara kubwa sana. Kuhimiza majeshi yaende comoro ili kuleta urafiki. Kweli unaenda kwenye vita ili kuleta urafiki. Zile gharama zilikuwa ni kubwa na kuna kamanda wetu mmoja alipotea. Pili alikuwa anaonyesha msimamo yuko pamoja na wapalestina na akatoa statement ambazo ziliikosesha nchi fursa na israel badala ya kukaa kimya. Aliingilia mambo yasiyomuhusu. Hiyo ni mifano miwili tuu. Ashukuriwe Raisi wetu sasa mahusiano ni mazuri na tuna ubalozi.Watanzania wenzangu. Mimi sijaandika barua ya kuomba kujiunga na Chadema au chama kingine chochote lakini nitaendelea kuviheshimu vyama vya upinzani kwa sababu vinafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali. Kukosoa ni kitendo cha maendeleo mpinduka na kamwe si kitendo cha uadui!- Bernard Membe.
Chanzo: HabariLeo Mtandao
Ukishaona tu Mwanasiasa haeleweki, Mjeuri, ana Kiburi Kingi, Mnafiki ( Ndumilakuwili ) jua ana Matatizo na hafai hata kuwa Rais wenu atawasaliti.
Kwa sababu ya udikteta hapati!Membe anajua hawezi kupata hata kura milion moja mbele ya Jpm
Kama wanamkubali mbona kutwa kucha mnalazimisha wamkubali?Magu hata asipopiga kampeni ushindi ni 98% Watanzania wanamkubali sana
Kila hila mliyojaribu ili iwafikishe kwenye hiyo ndoto inagonga mwamba! Aibu!Saizi ni aibu na fedheha kuwa mwana chadema