Kama hamumuogopi kwanini msipe nafasi ya kugombea uraisi?
Kama hamumuogopi kwanini msipe nafasi ya kugombea uraisi?
Sasa kwanini wamefanya hicho walichokifanya??/Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
Mgombea yupo kivipi wakati party caucas itakaa kumteua mgombea kati ya mwezi julai na September mwaka huu?Mgombea tayari yupo. Hakuna chama chenye wagombea wawili wa nafasi moja.
Aende CUF huko akawe mgombea wao.
Eti akifukuzwa CCM itapasuka, wapi! Sasa ndo ataelewa kwamba hana watu nyuma yake.
Hiyo inajulikana iko wazi hivyo, ila kwa wale mashabiki hawawezi elewa hilo
Mgombea yupo kivipi wakati party caucas itakaa kumteua mgombea kati ya mwezi julai na September mwaka huu?
Utamaduni UPI? Utamaduni hauwezi kuwa nguzo kuliko katiba nduguKwani miaka yote utamaduni wa CCM umekuwa ni upi?
MTU yeyote anayetetea uharamia kama wewe sikuelewi, kutaka urais Ni kosa?
Utamaduni UPI? Utamaduni hauwezi kuwa nguzo kuliko katiba ndugu
Wa MTU kufukuzwa kisa kutamani kugombea urais.Nimetetea uharamia gani?
Katiba ya chamaKatiba ipi?
Katiba ya chama
Thabo mbeki alitikiswa na akajiuzulu mpaka Leo sauth Africa ni beberu la Africa Leo iwe nongwa kwa Hutu dikiteta uchwara?Hata Libya, Somalia na Iraq zinasonga mbele baada ya kuchinja Ma Rais wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa MTU kufukuzwa kisa kutamani kugombea urais.
Tatizo lako unajifanyaga eti upo neutral ili uwakonge nyoyo au uwaboe pande zote, sasa ktk kufanya hivyo unajikutaga umetoa pumba za hatari bila kujua jitahidi kusimamia unachokiamini unakuwa kama vile kuna mtu kakushikilizia akili zako.Kumbe unaipenda na kuijali sana CCM eeh?
Naona umeumia sana Membe kufukuzwa 🤣
Hujasoma kilichoandikwa?Bernard Membe hajafukuzwa kwasababu eti tu ametamani kuwa raisi.
Amefukuzwa kwa kukiuka maadili.