What was your comment when Lowasa did the same during Kikwete 1 time and after Kikwete 2, and also in The Saccos when Zitto wanted the position of the chairman ? And also when Sumaye wanted it ??? Were u also sedated ???Why did they sack him off if he isn't a threat?
Tanzania is the Republic of fools
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja SanaChadema msifanye makosa kama mwaka 2015,ccm hawaaminiki tena
Nayeye kama ana nia yakugombrea Urais siaende chama chochote? Kwani mpaka CCM?
Maamuzi yaliyotolewa ndiyo yaliyomfanya Mangula augue ghafla, alipata mini stroke. Maamuzi yale hakuyaelewa, alishtuka sana. naukitaka kuamini angalia ile video ambayo katembelewa na rais Magufuli hospitali. Utamuona Mzee Mangula anaogopa hata kumuangalia rais Magufuli Machoni, anamuangalia kwa kuiba yani jicho la pembeni.
Ile inaonyesha hata yeye anamuogopa sana rais Magufuli. Waliposema aombewe alifumba macho haraka haraka akaanza kuomba, na uoga ule ndio uliompa hiyo stroke ndogo akaanguka, siku nyingine atakufa wamtoe huko kamati kuu.
Ukiiangalia ile video, unaweza fanya assessment nzuri ya ninachokisema hapa.Ile inaonyesha hata yeye anamuogopa sana rais Magufuli. Waliposema aombewe alifumba macho haraka haraka akaanza kuomba, na uoga ule ndio uliompa hiyo stroke ndogo akaanguka, siku nyingine atakufa wamtoe huko kamati kuu. [emoji44][emoji848][emoji44][emoji848][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124]
Jr[emoji769]
Ukiiangalia ile video, unaweza fanya assessment nzuri ya ninachokisema hapa.
Mkuu mimi naamini ulichosema hapo juu!Ukiiangalia ile video, unaweza fanya assessment nzuri ya ninachokisema hapa.
Kishasema ndoto zake zipo palepale! Na alikuwa nania yakugombea, sasa km kafukuzwa aende kule wanakoendaga. Zoa ZoaHilo hajasema bado... ndo kwanza CCM wametoka kutoa maamuzi yake... na yeye hajasema kama kusema atagombea ndo kumepelekea kufukuzwa uanachama.. BADO ANA MUDA WA KUAMUA... KAMA ATAFUATA USHAURI WA PASKALI AU LA..
Hivi CCJ kilifutiwa usajili!?
Inahitaji ujasiri wa hali ya juu kumuoa mwanamke siku moja baada ya kutalakiwa na mumewe wa ndoaHaya Chadema chombo hicho. Kazi na bata. Chadema nendeni na Membe 2020!
Anagombea kupitia CCM A hii ngoma bado mbichi jumatatu anatinga mahakamani kupigania uanachama wake huyu dikiteta uchwara asidhani kamaliza kazi gemu ndo kwanza dakika ya tatu.
Ndoto yake ilikuwa kugombea na CCM, akigombea kwingine hiyo si ndoto tena ni ndoto.Kishasema ndoto zake zipo palepale! Na alikuwa nania yakugombea, sasa km kafukuzwa aende kule wanakoendaga. Zoa Zoa