Huyu Membe alitaka kuharibu CCM wamemuindoa je kuna kosa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Zitto alikuwa anatumika kuisambaratisha Chadema na ndiyo maana lile kundi lake lote na wenyewe wamemsaliti wapo CCM.
Yani Zitto aliwekwa mtu kati akiamini ana wafuasi kumbe na wenyewe ni mamluki part B. Huyu Membe anataka kuokoa hali ya nchi na wapo watu serious nyuma yake.
Ccm sio waogaUamuzi wa kumtosa membe ni wa kupima upepo!muda sio mrefu watamrejesha chamani!!
Sio ukichaa, ni uhuru na haki ya mwanachama yeyote kugombea. Pengine hukumsoma hapo, kaeleza wazi wamwache agombee ila katika mchakato walikate jina lake, kwa kuwa uwezo huo wanao.Ni kichaa anayeweza kulazimisha kugombea wakati CCM ndiyo inayokupitisha! CCM ikikataa atagombeaje?
nilikuwaga sjui kama na wewe Unauza tigoJF na Twitter Vimemponza.
Huyu mzee hakuna anayemzungumzia kwenye mijadala huko mitaani. Hakuna.
Mgombea wa mitandaoni na safari imeishia mitandaoni.
Hapo penyewe umemuongelea kiuogaYeye na washabiki wake wamejiaminisha kuwa eti anaogopwa.
Anaogopwa kwa lipi hasa?
Kujipa tu umuhimu ambao hana.
Walijua kuwa Lowasa atakuja kurudi nyumbaniCha kujiuliza... kama CCM WANA UWEZO WA KUKATA JINA KAMA WALIVYOKATA LA LOWASA, NINI KINAWAPA HOFU?
Ukiamua kukabidhi akili zako wenzako wakushikie na kukukaririsha kitu cha kufikiri na kusema una tabu tubu. Hizo fomu za uchaguzi za kuomba kuteuliwa na CCM ni nani anazitoa? Ni nani anazipokea wakati wa kurudisha?Mwenyekiti na genge lake ndio ccm? Amesema fika kuwa angechukua fomu ili agombee lakini mwenyekiti na rais wa sasa hana sifa za kushindana. Tabia hiyo iko wazi hata kwenye uchaguzi wa nchi nzima, ambapo mwenyekiti wa ccm anatumia madaraka yake ya urais kuchezea box la kura.
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu kama hutaki hama nchiHaya Chadema chombo hicho. Kazi na bata. Chadema nendeni na Membe 2020!
Lengo ni kugombea na kushinda,na anaamini hivyo kupitia ccm kuwa ushindi kwake upo. Hana ndoto za kushiriki Kama wafanyavyo wakina LIPUMBA.Nayeye kama ana nia yakugombrea Urais siaende chama chochote? Kwani mpaka CCM?
Hata Membe mwenyewe Hana mpango wa kwenda huko hata kama amefukuzwa ndani ya chama chake,mtabanana hukohuko mminyane mpaka kieleweke.Haya Chadema chombo hicho. Kazi na bata. Chadema nendeni na Membe 2020!
Kibendera jina la mtu mkuu, omba radhi.Ndio Akili zenu Vibendera zinawatuma hivyo
Hongereni
Zama zake zishapita, now ni kigogo japo nae kashaanza kuchujaMange kasemaje?
Mkuu haujafanya utafiti wa kutosha.Zitto alikuwa anatumika kuisambaratisha Chadema na ndiyo maana lile kundi lake lote na wenyewe wamemsaliti wapo CCM.
Yani Zitto aliwekwa mtu kati akiamini ana wafuasi kumbe na wenyewe ni mamluki part B. Huyu Membe anataka kuokoa hali ya nchi na wapo watu serious nyuma yake.
Kwani kuitaja katiba ya Chama ni kuipenda? Mkuu Mbona unakosa uelewa kiasi hiki!!! Wengi tunafuatilia mjadala huu hivyo kuwa makini Upstairs.Kumbe unaipenda na kuijali sana CCM eeh?
Naona umeumia sana Membe kufukuzwa 🤣
Kuna uzi upo humu humuNitaipataje kaka?
Jr[emoji769]
Hivi ikitokea ugonjwa wa Corona umeingia TZ (hatuombei) uchaguzi so lazima uairishwe kwa Miaka miwili Hadi 2022 kunusuru Afya na Uhai wa Watu wetu! Nawaza tuuuuu.Hivi mnadhani hata 2025 magufuli atauacha urais anavyopenda sifa, utukufu zaid ya Mungu?
Sent using Jamii Forums mobile app