Binafsi naona naona ni muda muafaka kwa membe kujiunga na upinzani wa kweli ili kutimiza ndoto zako za kuwa tz President... Karibu act
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kikubwa cha upinzani kuliko Chadema.Hivi ACT ndiyo nini mkuu tafadhali...
Tatizo ni uelewa wa wafuasi. Tayari kulikuwa na watu wa aina yake wakiona kama Membe ni mkombozi wao kuondokana na mfumo wa Magufuli, bila kujali uwezo wake mdogo...CCM wangemuacha tu agombee.
..asingeweza kumshinda Magufuli ktk kura za wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.
..CCM ina tabia ya kutumia mabavu hata ktk masuala yasiyohitaji mabavu.
Kama huyu siyo M/kiti wako, kwa nini unajali kiasi hicho?Kwa nini Mwenyekiti anaogopa kila mtu? Kwa nini Mwenyekiti wenu hataki kupingwa nje na ndani? Tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alianza zamani sana. Alipokosa urais tu akaanza maneno yaani ni kama anawajulisha watu kwamba bado ni yeye tu! Mwenzie alikuwa ni Mwandosya na vijembe vya twitter. Lakini baadaye alinyamaza sijui akili ilirudi!Kitanzania kutangaza nia ya kugombea urais ungali rais bado hajamaliza muhula mwingine wa pili unaonekana unamuhujumu rais.
Aibu kweli kweli, demokrasia ni ya mdomoni tu.
Mkuu ni kweli hujui act ni nini?Hivi ACT ndiyo nini mkuu tafadhali
In God we Trust
ACT maana yake aliyekimbia Chama Tanzania π π π π π
Tatizo ni uelewa wa wafuasi. Tayari kulikuwa na watu wa aina yake wakiona kama Membe ni mkombozi wao kuondokana na mfumo wa Magufuli, bila kujali uwezo wake mdogo.
Kuna kitabu kiliandikwa na Mmarekani akieleza ujinga wa wapiga kura unavyoleta taabu ktk demokrasia. Ukiwa na wajinga wengi unajikuta mwenzao anashinda.
Chama kikubwa cha upinzani kuliko Chadema.
Why not?
Bila ivo itakuwa ni chai tena isiyo na viungo hadhimWatadhani watanzania wa leo bado ni wa kulisha matango pori kama wanavyotaka wao.