Membe: Sikushangazwa kufukuzwa. Niliendelea kusimamia nia yangu kugombea Urais 2020. Mwenyekiti na Katibu wameratibu mimi kufukuzwa

Baada ya hapo arudi nyumbani kuunga juhudi huku akipokelewa kwa mbwembwe Na jpm...
 
..CCM wangemuacha tu agombee.

..asingeweza kumshinda Magufuli ktk kura za wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM.

..CCM ina tabia ya kutumia mabavu hata ktk masuala yasiyohitaji mabavu.
Tatizo ni uelewa wa wafuasi. Tayari kulikuwa na watu wa aina yake wakiona kama Membe ni mkombozi wao kuondokana na mfumo wa Magufuli, bila kujali uwezo wake mdogo.

Kuna kitabu kiliandikwa na Mmarekani akieleza ujinga wa wapiga kura unavyoleta taabu ktk demokrasia. Ukiwa na wajinga wengi unajikuta mwenzao anashinda.
 
Kitanzania kutangaza nia ya kugombea urais ungali rais bado hajamaliza muhula mwingine wa pili unaonekana unamuhujumu rais.

Aibu kweli kweli, demokrasia ni ya mdomoni tu.
Huyu alianza zamani sana. Alipokosa urais tu akaanza maneno yaani ni kama anawajulisha watu kwamba bado ni yeye tu! Mwenzie alikuwa ni Mwandosya na vijembe vya twitter. Lakini baadaye alinyamaza sijui akili ilirudi!
 
Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.

Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..

Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.

Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.

Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..

Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.

Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni uelewa wa wafuasi. Tayari kulikuwa na watu wa aina yake wakiona kama Membe ni mkombozi wao kuondokana na mfumo wa Magufuli, bila kujali uwezo wake mdogo.

Kuna kitabu kiliandikwa na Mmarekani akieleza ujinga wa wapiga kura unavyoleta taabu ktk demokrasia. Ukiwa na wajinga wengi unajikuta mwenzao anashinda.

..kweli.

Magufuli angemshinda Membe ktk uchaguzi wa wazi na wa kidemokrasia ndani ya CCM.

Na Magufuli angejiongezea UJIKO mkubwa kuliko hivi alivyomfukuza Membe.

Sielewi kwanini Magufuli awe MUOGA kiasi hiki wakati yeye ni Mwenyekiti wa chama, Raisi, na Amiri jeshi mkuu.
 
Back
Top Bottom