Angekuwa bingwa wa mikakati angejifunza kutokana na makosa ya waliomtangulia na kuna vitabu vya kusoma, ili ufanikiwe kwenye siasa duniani na sio tu bongo.CCM wamejizika wenyewe. Membe ni bingwa wa mikakati. Ipo siku atakuwa rais. Jiwe jiandae kudhalilishwa au kuwekwa kizuizini.
Sasa aendelee kuvumilia nn wakt washamfukuzMembe akiendelea kuamini katika siasa za kidiplomasia anaweza kusahaulika ndani ya muda mfupi sana, vita yake dhidi ya bw. Yule inahitaji uvumilivu na msimamo thabiti, asifuate nyayo za kina edo na Sumaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwambia ww mtoto mdg sana.Atajijua. Akagombee kupitia ACT.Kina Zitto watampokea kwa mikono miwili. Kama alishindwa kuwa Rais 2015 kipindi kaka yake anaachia ngazi,basi kamwe hawezi kuwa Rais wa nchi hii Tanzania.
Kwa akili zake fupi anajiona ana nguvu na ushawishi wa kisiasa kuropoka anayoropoka?? Ajielewi!Mwamba wa pande za Kusi, mwanadiplomasia nguli Bernard Membe ameunguruma baada ya kutoswa na CC ya CCM.
Ngoma bado mbichi kabisa hii.
Kwa undani zaidi, jipatie nakala yako ya "The Citizen" hapo kesho Jumamosi 29 February.
View attachment 1372047,
Akagombee urais kupitia Chadema, akatimize hiyo ndoto yake. Makamanda tayari wameshajitayarisha kumpigia deki barabara.
Kwan amefukuzwa kama sio tishioHivi kweli Membe anaamini alikuwa tishio kwa JPM ndani ya CCM?
He can’t be serious.
Wekeni fair grounds muoneMaybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake
Maybe........ila atakwama maana hana mvuto sana kisiasa labda kwenye social media......2015 EL hata alivyoenda cdm mtaani alikuwa na watu wanaomkubali....ila huyu naona threads tu hapa JF na twitter.....ngoja tuone nn mwisho wake
Subra ipi ?Kila kitu kipo wazi. CCM ni maji,Membe ni Samaki. Ulishaona Samaki ana uhai nje ya maji ?
Mwenzako lugola segerea na ukonga wanamsubiri akawakatie kiuno! bado wewe mkata mauno mtarajiwaKamanda tusubiri kuzungusha mikono kwa Membe2020.
Kwan amefukuzwa kama sio tishio
Mafumbo ya kihayawani kama haya hufumbiwa wajinga.Mkia hauna ubavu wa kumtikisa Ng'ombe
Hata Nyerere analijua hilo, Azimio la Arusha tulianza kufungia vitumbua Nyerere akiwa hai na hakuna alichofanya zaid ya Makelele tu!
Kidumu chama cha Mapinduzi
Sent using Jamii Forums mobile app
akili ndogoHiyo inajulikana iko wazi hivyo, ila kwa wale mashabiki nyumbu wa Lumumba hawawezi elewa hilo
Na mengine mengiNimewaza san...ila mwisho niwe mkwel tu,mi nahisi bernad ndiye akiyehusika kwenye sakata lakumwekea sumu magu dodoma kipindi kile
Adabu ipi mtu kutoa maoni yake Tena ni kosaKafukuzwa kwa kukosa adabu.
Hatishi mtu.
Wewe binti akili inazidi kukorea kichwani.Magufuli ndo CCM kwa sasa.