Membe ulisema ‘’NIGUSE NINUKE’’, Kwa sasa tunasubiri hiyo harufu uliyoahidi!

Jikite kwenye mada mada wewe mkaldayo acha porojo jamvini fanya kazi
Mbona weye ndo umetoka nje ya mada. Aliye kuwa akijadiliwa ni Membe. Nilipoongelea Membe sikutaja huyo Magufuli wako. Nashangaa weye kuingiza Magufuli. Ndo maana nikakupuuza kukujibu kwani ilikuwa nje ya mada. Nashukuru umenielewa. Siongelei vitu nje ya mada. Ukitaka tumjadili huyo mtu wako anzisha uzi atajadiliwa tu hakuna shida. Fuata uzi ulihusiana na nn? Nafurahi umechukizwa mtu akitoka nje ya mada. Hivyo jibu unalo!
 
Hamna bana jikite kwenye mada acha porojo jamvini
 
Mngempa nafasi agombee hapo Chadema kama mlivyompa Lowassa, hii itasaidia kumuondolea sumu uli baadaye arejee CCM uchu ukiwa umemwisha.
 
Mkuu;
Haya maneno yameondoa hata msingi wa hoja yako uliposema, ''Membe ni lipapa kwenye siasa ''.

Membe hajawahi kuwa lipapa kwenye siasa na hataweza kuwa kutokana na mazingira ya siasa za Tanzania.

Nadhani hujui kuwa huyu Membe ilibidi Rais Kikwete na familia yake waingilie kati ili achaguliwe kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM! Kama isingekuwa Rais Kikwete na familia yake basi hata ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM asingeupata!
 
Bruh Bruh MTU ameingia tano bora ya Urais sio papa kweli? Mtu anamuwazisha mwnyekit na katibu hadi wanamfukuza sio papa?? Tavazali ndugu
 
Mkumbushe kiapo chake cha usalama
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyevaa khanga ya mamako ndio babako.
Heshima tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…