Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

Membe: Wazazi wa Benjamin Mkapa walitaka mtoto wao awe Padri kama wazazi wangu walivyotaka mimi niwe lakini yalitushinda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.

Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Hata huyu wa sasa nae anasema alitaka kuwa Padri ila yakamshinda akavunja dirisha na kutoroka seminari

IGP Sirro nae alikua huko huko kaishia kuwa Polis

Dr Slaa alijaribu kaja kupata mchumba uzeeni[emoji1787][emoji1787]

Upadri inaonekana sio kazi ndogo
Hiyo fani inahitaji kujitoa. Dedication ya kiwango cha juu. Ukiwa na roho nyepesi hutovuka. Ni Ngumu
 
Kila mtu ana mapungufu hakuna aliekamilika, Hivi mnafikiri kuwa kiongozi wa nchi rahisi sana,Hakika hata ungepata nafasi ya kuongoza hata wiki moja ...tuone najua huwezi pata lakini kazi ya kuongoza watu si kazibrahisi hivyo kama unavyoongea hapo, Aliyekuwepo anajua hali ilivyokua
Taifa limepoteza mtu aliye teketeza wazanzibar mwaka 2001 January 27
 
Mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo mh Bernad Membe amesema wazazi wa hayati Ben Mkapa walitaka mtoto wao awe padri kama wazazi wake yeye walivyotaka Membe awe padri.

Membe amesema Ben Mkapa alikuwa mtu wa dini sana na alilipenda Kanisa licha ya kuwa anatumika siasani.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Hivi na huyu naye anabwabwaja Nini! Ili tuone kama anakaufanano na Nkapa eeh!
Hata Kuwa mjumbe wa mtaa hafai!
 
Hivi neno padri huwa linamanisha nini, maana nikiangalia kwenye Biblia yote silioni.

JESUS IS LORD.
 
Back
Top Bottom